DUNIA (Ep 09)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

POLENI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA JANA KUTOKUPOST, , TULIPATA CHANGAMOTO ZILIZO NJE YA UWEZO WETU, , HIVYO TUTAPOST EPISODE YA 10 SIKU YA JUMA MOSI NA SIO IJUMAA TENA, , ASANTENI 🙏🏻

asmacomedian
Автор

Ila uyu jamaa manyanya ni best actor of the year in Tanzania m

MajaliwaStepheno
Автор

Muddy 😂😂😂😂😂😂kama mtoto vile kumbe penzi sio lazima maisha ya kifahari hadi tamu ❤️❤️❤️❤️❤️👌👌😢

zahraabdul
Автор

Movie nzur sana asanten muendelezo uwe kila siku jaman aichoshi kuangalia nimeipenda sana 🎉🎉

zuleikhaissa
Автор

Nimempend mke wa mud Ana huruma pia Ana mapenz ya dhat kwa mmew big up san🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

MichaelMbwambo-tp
Автор

Mungu ndiye mwenye uwezo wa kusimamia ndoa zetu, , kama munamuamini mungu like kwa wingi

MajaliwaMmula
Автор

Ndoa ya watu wawili tuh sio mzazi sio rafiki Kuna baadhi ya mambo yafai kutolewa njee na ukaona washindwa majibu Kuna waatalamu wanao waeza kushauri au kukupa majibu ya maswali yako inshallah tujifunze .🎉🎉🎉🎉🎉🎉

zahraabdul
Автор

Mimi ndiye fans namba moja wa King MANYANYA. Kuanzia sasa huyu mtaalamu anatisha sana ktk kutembea na script. Salut kubwa kwako KING MANYANYA 🥰🥰🥰 kama unamkubali Manyanya weka like tutimie 1k haraka sana

DonMooFILMES_Express
Автор

Jamani hii movie nzuri sana.unamafundisho sana.maua yako Manyanya🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

DianaMkembelwa
Автор

❤❤❤🎉adi raha mama mungu akuongoze ufike mbal unajua sana bro manyanya na team yako kiujumla

DavisMmole-ip
Автор

Yaan manyanya wakikutana na kungwi dume Kuna kitu watakitengeneza na kitakuwa funzo Sana na watu wengi watabadilika kwenye ndoa makopa kwenu wapendwa hongeleni sana❤❤❤🎉🎉🎉

AnthonySylver
Автор

Yaani mke wa mudi wewe ni mwanamke na nusu mama 💪💪

JackloneElulu-gyjv
Автор

Hii filamu inafundisha sana kwa walioko ndani ya ndoa na ambao wapo nje wanataka kuingia ndani ya ndoa

andrewkilave
Автор

Kila mwenyi atakae soma iyi comment mungu amupe maisha marefu naabariki kila atakacho kifanya kwa maisha yake

FootballFootball-ug
Автор

Hongera bro una maneno ya mafundisho sanaa twafaa kuheshimu ndoa kwakweli big up❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

Mwanajumahassan-tgzg
Автор

Mmeanza vizuri msije mkaharibu mwishoni sasa . Hongera saana manyanya🌺🌺💯🔥

SiwemaJohn-od
Автор

asanteni sana kwa elim nzur nawaombea kwa mola awazdishie mzid kuongza zaid ya mlipo sas

Nikionetv
Автор

Kaz nzuri tunawapenda sana uku burundi❤❤❤❤❤❤

DeejayHappy-dbrd
Автор

Jamani Mimi nataka matrida na manyanay wawe kwenye mausiano Ili vairti anutie🎉🎉🎉

HabibaAlly-og
Автор

Mudii mbavu sinauma😂😂😂😂ila manyaya. Unamafunzo muhimu sana kwanza kwa wanandoa hongera sana ❤❤❤❤

Philohmutua-bcjk