DUNIA (Ep 20)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

FAMILIA NZIMA YA DUNIA INATOA POLE KWA WAHANGA WOTE WA AJALI ILIYOTOKEA LEO MTAA WA KARIAKOO DAR ES SALAAM, , TUMESIKITISHWA NA AJALI HIYO NA MUNGU AWAPE NGUVU WAHANGA WOTE NA AWALAZE PEMA PEPONI AMBAO WAMEPOTEZA MAISHA PIA, , MIPANGO YA MUNGU HAINA MAKOSA 🙏🏻

asmacomedian
Автор

Daah jamani penzi la manyanya na matrida limenikonga nyoyoo Sanaa ❤️

zawadgunza
Автор

Manyanya na mati naona wakifika mbaali sana. Kila mmoja kitu alichokikosa anakwenda kukipata kwa viwango vya SGR. Aise kitu hiyo inanireflect kwa 100%. Wanaume wengi hua tukilazimishwa kuwa na michepuko kutokana na aina ya wanawake tunaokuwa nao na 50% baada ya Mume kuchepuka ndoa hua inaishia kuvunjika. Aise big up sana Wana Dunia kwa kutuelezea mambo yanayoikumba jamii yetu. Kama unakubali hili nipe like na angusha komment yako hapa chini yangu

zuberimasoud
Автор

Asante sana kaka manyanya Kwa kutuburudisha na pia kutufundisha mungu akubariki na pia akuzidishie kipawa zaidi Amina🙏

GiriadyMsumle-jwek
Автор

Jaman tangia nianze kufatilia dunia sijawah kupata like

KelvinSilah
Автор

Wangap wanaangalia dunia uku ukiwaombea waanga wa ajali kariakoo watoke wakiwa salama

Juliety-vo
Автор

Sijui kwann nasmile ninapo ona matii na manyanya pamoja ❤❤❤❤ am happy for you guys hongereni kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉

PurieMakena
Автор

Manyanya nimekubali bro asili Mia 100% Yani hio sehemu ya mati ulivo ingia kwake na amekasirika Yani bro umenifurahisha Sana venye umemuongelesha aki Yani ata sijui nisemeje bt ivo ndo inafaa mwanaume kuongelesha mwanamke.... My God bless you bro Manyanya ..pamoja Sana bro i love from Mombasa KENYA

SaroMwaringa
Автор

Hello people watching from Zambia I have seen bro manyanya in the spiritual realm stading psichology and reading A lot of books 📚📚📚📚📚 this guy is something else, his thinking capacity is beyond
Teaching and encouraging This young generation need more knowledge and people like brother manyanya 🎉🎉🎉🎉.

KWISHA ABARI YAKO🤣

AmazingPabloOfficial
Автор

🎉❤manyanya usipo nenepa muda huu sijui manyanya aka Mr kitaalamu❤❤❤hongera sana

YusraNeema
Автор

Heri mwanamke atakayetii ushauri wa wa Manyanya!Wanaoniunga mkono tumpe like❤

IRATUZIAimable
Автор

Mi wakwanza ku comment nipeni maua yangu fan's from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nampenda sana manyanya

DonbrightKenny
Автор

Leo Matrida kampata anaempenda nmefurah mno Matrida kupendwa na Manyanya ❤❤❤❤❤by Juliana

EstherMussa-xx
Автор

Yani kila siku na download movies then nafuta lakini hii siwezi kuifuta it makes me happy ❤❤❤😂😂🙌MATY AND MANYANYA ❤️

GraceBriton
Автор

Asante kwa movie na makiwa kwa familia zilizo poteza watu wao kariokor pole zangu kutoka KENYA

stephenmutisya
Автор

Hahaha MAti mauwa kwako naona Sasa unafurah tere maana mikosi kwisha ❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💓💓💓kw star wet manyanya

DonbrightKenny
Автор

Manyanya hii move sitegemei kuisha Leo wala kesho utanikwaza, all in all ni kaz nzuri san hongera sana!!! Love you ASMA FILM

ZainabuZaina-dkmx
Автор

I like this film. Wanawake wajifunze mengi kupitia hii movie💯

abdallahmkwizu
Автор

Pole sana kwa wa tanzania wote, hapo Congo tuna lia na familia yote ilio pingwa n'a msiba.

Movie ya Dunia aksante kwa kazi

michelmukata
Автор

Jaman 😂😂😂😂hatimaye matrida Yuko penzini mbn mnanikosha atariii nazidi kuvulugwa na hiii move🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂

JamilaRajabu-gp