DUNIA (Ep 17)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ww mpendwa unatazama hii filamu nakwombea mungu akujalie maisha marefu n afya njema🙏🙏

brucerinka
Автор

Kimoja naomba kwenu iyi filamu msiseme inakalibia kuisha please 👏👏inamafunzo Mazuli sana, courage tena, manyanya super 🫡🇧🇮🇧🇮🇧🇮

floridekwizera
Автор

Kila anaesoma hii comment Mungu akafungue milango ya Baraka maishani mwake

EuniceMariki
Автор

hiii duniy saf kabsa mauwa yke mtunz wafilam❤❤❤🎉🎉🎉🎉

SubiraMussa-fy
Автор

Aisee hii movie ni zaidi ya filamu mwaka huu
Gonga like Kwangu kama unampenda MANYANYA

MoshiSelemani-vz
Автор

Manyanya uko juu ukiendelea ivo utfka mbli bro alafu vile unaonekana umesoma changanya luga pia kizungu kitakufnya utoke naujulikne kimataifa

Sadiq-luxs
Автор

Hiki Kipande Cha Leo Nichamoto sana 🎉🎉🎉 Tulio Subiri hiki kipande kwa Hamu sana Hebu Tujuane hapa guys. Team Manyanya Mko wapi ?

LilOmmyCrazyOfficial
Автор

Mlevi anajikakamua na usafi leo😂😂😂 Anapanga tukio lingine safi😅

lennieoyaro
Автор

UWIIII YA LEO NI MOTOOO NAJUA NIMECHELEWa LAKINI ALHAMDULILLAH NIMEFANIKIWA KUITAZAMA KWA MARA NYINGINE EPISODE YA 17, WALLAH INAZIDI KUWA KALI KADRI SIKU ZINAVYOZIDI KWENDA, KAMA UMEKUBALI HII SERIES GONGA LIKE TUWAPE NGUVU TEAM DUNIA😂🎉🎉❤❤😮😮

KibweOnlineTv
Автор

Wangapi tunaitaji wanaume romantiki kama manyanya😂😂❤

NeemaMzur
Автор

Napenda hii...kaka manyanya na vaileth nyinyi ni fayaaa

ElvisSimiyu-pp
Автор

Waaaah Kila kitu Dada kitakuramba tu karibuni

AminaKavuo-gjoc
Автор

Tulio gundua kwamba manyanya anam care sana mati kuliko cathe tujuane😅

CharityImaculate
Автор

Mudy na mkewe nawapenda kweli wanaowapenda km mimi weka like yko hp

FatmaAlly-wp
Автор

Wakenya wezangu nawapenda Sana .... Hongera Sana manyanya kujitia bidii qwa wife wako❤❤❤❤❤❤hata kama n kisirani😢😢😢😢😢

dominicomari
Автор

Church Boy hata uimbe vipiii siri yako tunayo 😊😂😂😂😂😂

joshuajosephat
Автор

❤❤❤❤❤❤yani manyanya mungu akuzidishiye kipaji maana unatuelimisha sana

ShamsaZamda
Автор

Wakwanza Kutoka Rwanda
Tunawapenda sana Manyanya na Timu yako yote🎉🎉🎉

AnithaAyingeneye
Автор

😂😂😂😂Ningeshanga Mudi awe mupole nakufanya kazi kumbe alikua anasawazisha deni 😂😂😂

RizikiZiki
Автор

Hii movie makini sana mungu awabless❤️❤️

MelaniaTluway