DUNIA (Ep 01)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

KARIBUNI SANA KUTAZAMA TAMTHILIA YETU MPYA YA DUNIA, , AMBAYO ITAKUA INARUKA KILA JUMA TATU, JUMA TANO NA IJUMAA, ,, ASANTENI TUNAWAPENDA

asmacomedian
Автор

Mie shoga angu kanishtua kaniambia huk panamamb mazur na kweli nayaona🎉🎉 ambao tumeanz jufatilia huu🔥🔥 tujuane

AishaShaban-sr
Автор

mm ndo naanza leoo jmn nan mwingn anipe sapport muhim 😊😊😊😊😅

PetronilaMtewa-gh
Автор

Nimefurai Sana kumuon vai, kam unampenda gong like ap

julianaedwin
Автор

Duuuu kumbe vai team strong nipeni hâta kidogo ntashukuru🇲🇬🇲🇬🇧🇮

OmarNzohabonayo
Автор

Dah huyu mlevi bonge la msanii sana anajua hatari wanao kubaliana namm gonga like hapa

MstaarabuTv
Автор

Nice movie, , , scene zote ziko bomba, , , imeniumiza sana scene ya matlda dah😢😢😢 naishiwa kuchezewa tu na kuachwa, , , hii inaakis hadi kweny maisha mtaani, , na ni ngumu kwa mwanamke kumjua mwanaume gani ni sahihi kweny maisha yake, , na mwishowe ni kuchezewa tu na kuachwa inaniumiza sana swala kama hili pale napoliona kwa baadhi ya wanawake mtaani napoishi, maana hali hii ina athari sana kwa mwanamke asiyekuwa na uvumilivu kuanza kuchukia wanaume na wengine kuingia ktk janga la kuwa malaya kwa lengo la kufanya kwa kipato tu ambapo mwisho wake unakuwa mbaya pia, , , !! Ushauri kwa sisi Boys/men tusiwe tunawachezea wasichana/wanawake zinaa ni deni, kama hauna malengo naye ni bora ukawa mkweli tu na sio kuumiza hisia za mtu au kumuharibia maisha yake, , , !!!😢😢😢, , . Scne ya mzee baba kutokupata ukaribu na mke wake napo ni changmoto, mke wake hana muda na mumew hali ambayo inaweza kusababisha jamaa kutoka nje ya ndoa kutafuta faraja, na kupelekea ndoa kuvunjika. Mwanamke kama hautaki kumtii mume ni vyema ubaki tu nyumbani uzeekee ukiwa kwenu na sio kuolewa maana mwanaume anatapenda sana ukimtii na kumsikiliza. Then scene ya jamaa kuhusu kumuheshimisha mke ni jambo jema sana, , na subira na uvumilivu ni vitu vizur sana, , mke anajitajid kumvumilia mume wake although ni mnywaji naiman kweny scene zijazo atabadilika na kuwa mtu mzuri tu, , , !!! Asnte kwa kutuburudisha, kutuelimisha, kuhuzunisha na kuleta msisimuko wa tamthiliya big up sana media🙌🙌

AhmedChitema
Автор

Me ndo naanza Leo maana kla MTU ananiambia kaangalie movie inaitwa dunia🥰🥰🥰

anny-gal...
Автор

Nimefurah san kumuon cha pombe Wang jaman🤗🤗🤗kazi nzur sana🙏🙏

adidjaVyumvuhore-tptc
Автор

Tangu niaze kuangali movie za kitanzania atimae manyanya pekee ndiye nimemsikia akiongea kingereza vizuri hongera sana bwana manyanya❤❤

PrincessNasra-
Автор

Napenda sana mnavoiheshimisha bongo movie kila unapogusa moto🔥

mohammedkidody
Автор

Mimi ndio naanza leo sasa kuchek baada ya promo kubwa ad clouds fm

Clemencelazaro-lgqd
Автор

asanteni sanaa kwa kutufikisha episode ya Mwisho ya na kwa kutuunganishia tena ya hii mpya kabisa ya hamna baya, , , , nawapenda nyote

NdyamukamaEdmund
Автор

Nilijifunza mengi kupitia hiyi filamu
Ongera sana wacezaji especially manyanya
Love from Burundi

bonaventuremanirampa
Автор

Huyuu mlevii. Mimemkubali. Wallah anajua

KhatibSalehKhatib
Автор

much❤❤❤sana take that🎉🎉🎉🎉 belongs to you, big up sana kaka mkubwa pamoja na vaii... hamjawai tuangusha ila wapi mzee kicheche mlimpotezea wapi mwenzenu... frm254 nyumbani.

Anwarmoh-px
Автор

Ahaa we mlevi umetisha sana, ila mke wako Yuko vizuri 👏👏👏 angekua mke wangu Leo ningekufa Kijiji kizima kingejua😮

josiacharles
Автор

Mashallah vaylet good job keep going mama❤❤❤🎉🎉🎉

zahraabdul
Автор

Number 1 today gong likes 5 Guys Kam unaipenda hiy team ❤kanji mlevi hiyo stailo unacezeaga ikosawa much love from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

NathaSMART
Автор

Leo ndo mimi nimeanza episode one... support 👊🏾👊🏾😜

stellakinyanjui