DUNIA (Ep 11)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera sana kaka manyanya mungu akubariki na akupe nguvu said uendelee kutuburudsha

Fatuma-vzzl
Автор

Manyanya amebeba mafundisho makubwa mnoo🎉🎉🎉🎉 hongereni sana kwa kazi nzuriii

JudiesDeogratius
Автор

Wale mashabaki wa manyanya tujuane 🙏🙏🙏👍😁

JameesJuma
Автор

Manyanya is very good for dunia 😊❤❤ conglation mr

EricksonKhamis
Автор

Jmn huyu Kaka anaigiza vizuri Sana wangapi wanamkubali

AbiaKafrete
Автор

Wooow Mudi Kashinda Kuku Kwa Kushindana kunywa Pombwe? Manyanya Nae Anaumizwa sana Kwaajili ya Mapenzi daah😂😂🎉🎉🎉, Leo Nimekuwa wa Pili Jamani Ahsante Sana Team Dunia Series, Em Naomba Likes zangu za kutosha tuwape nguvu wahusika wenyewe❤❤❤❤❤❤ Ya Leo ni

KibweOnlineTv
Автор

Nimecheka sana manyanya bana eti ndoa msokoto😂😂😂

ujenzitv
Автор

Wanaosema mudi anamtia hasara mkewe gonga like hapa

ZainabuKabache-txtu
Автор

I love the way manyanya explains about marriage, so mature

SamKoloto
Автор

Wanasemaga mapenzi safari unavyopita ndo jinsi unajongea. Ila niendapo ni mbali sijui kaa nitafika sababu natembea ❤❤ wimbo wa Diamond simba la masimba dangote 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

_Wayiva_mukuta_jean
Автор

Big up big brother Manyanya unakipaji kweli ahûbahatishi

EdgardBukuru
Автор

Mtu wa 98. 😂😂 najipa mauwa mwenyewe najua hata nikiwaomba hamunipi🎉🎉🎉❤

BabaBabalili
Автор

Manyanya anaanza kunogewa na maty... nan anaona kama mm ❤❤❤❤....

HappyNebarty
Автор

😂😂😂maty🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kaka manyanya nakukabali sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

khadija
Автор

jaman mati bezi nzuri ❤❤❤❤
nakupenda buree

SarahIbrahim-rp
Автор

Kaka manyanya, , , , kwenye sekta ya ndoa uko vizuri mnoooo❤❤❤❤hongera sana

esterkimalio
Автор

😂😂😂😂😂😂 hapa nmecheka jmn ndoa msokoto ipoje hapo jmn et inasokoteka manyanya bn upewe maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉

ArsenSilayo-ro
Автор

Akupongeza kutoka Kenya ❤nguvu zako ziongezwe unatupea kitu tamu tamu

NiragiraElie
Автор

Yule cha pombe anazidi kunifurahisha. Especialy the way anavio zungmuza😂🇹🇿🇨🇩

shukranikasereka
Автор

Mke wa mudi ni mfano wakuigwa, wanao mkubali Dondosha ua🎉

SifuEmmanuel-fh