DUNIA (Ep 14)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Manyanyaa uko vizur sana acha nikupe mauwa yako 🥀🥀🥀🥀

kushahashija
Автор

Manyanya hongera sana brother hapo kwenye neno la MUNGU umesema kweli na ukiyaishi hayo hakika MUNGU atakufikisha mbali SANA🙏

adarieldamumoja
Автор

Manyanya manyanya manyanya wewe ni mtu wamaaana kabisa👍👍👍

Aufango
Автор

Kwa kweli manyanya ni advicer mzuri wa wanandoa kma unakubaliana na mm weka like

ChristinembinyaPaul
Автор

This series should get award inatufundisha mengi sana. Maudhui ni kwa rika zote haijalishi mtoto au mzee mafunzo ya humu ni makubwa sana. Thank you team Asma films for this

arnoldalphonce
Автор

Manyanya unakuja vizur saana. Mungu akukinge na watu wabaya ambao watakuharibia kipaji chako. Kiukweli uko vizuri brother

ButoyiHussein-zsrg
Автор

Mashabiki wa manyanya tujuane nakupenda Bure maneno Yako wametufunza mengi big up mtu wangu 🎉🎉🎉

LeahFundi
Автор

Kaka Mañyanya nikupe maua yako kwakweli yan najifunza mambo mengi sana kupitia ww yan hakuna kitu kikubwa ambacho najifunza kwenye hii movie zaid ya maneno ya manynya.. MUNGU AKUBARIKI SANA ❤

ReginaPaul-tk
Автор

Manyanya hongera sana kwa mafundisho manzuri Mungu akubaliki 🙏🙏❤❤❤nipo najifunza vitu vingi sana 🙏

Frola-rz
Автор

Umenifulahisha sana Mr Manyanya🥰.nakupenda sana❤.Mungu akuze kipaji chako🙏. I'm from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

JulesIshimwe-dzps
Автор

sana yaani hii filamu inaelimisha sana sana.. kazi safi sana 🇰🇪🇰🇪

PoleenNjeru
Автор

Kak manyanya ushauli wako kwangu umenifanya nibadilike sana nakushukulu mungu azigi kuku upa uhai na elimu yako ifike mbali san zaidi ya apoo ulipo gikia🎉🎉

AngelKisole
Автор

Me shabiki wa manyanya kindaki ndaki🎉🎉🎉🎉 maua yake hayo jmn ❤

DainesWilliam
Автор

❤❤❤😂🎉🎉🎉manyanya nakukubal sana bro kama wasanii wenzio wanaliona hili nawao wajifunze kuptia wewe upo vzr🎉🎉🎉🎉

DavisMmole-ip
Автор

for real manyanya you're bringing a big change to my life big up sana kwa job mnaipiga Iko lit sana, , , 💪💪💪🔥

AjunyTiberious
Автор

Yan manyanya ni anaigiza kwa uhalisia sana na anayo mafundisho ya kina ambayo yanaeleweka

xaviodominic-tmbn
Автор

Manyanya mambo ya kinywa chako ni matamu sana hadi yanaeleweka vizuri sana ❤❤❤🎉🎉🎉

zahraabdul
Автор

Hajawai kutokea mtoa mafinzo ya hekima kama manyanya Mungu akubariki

SarahCharls
Автор

Aisee.... Manyanya sio muigizaji ila m Mwalimu yan anafundisha jaman yuko vzr sana 🌹🌹🌹🙌🙌🙌

NeemaRutta-zv
Автор

Kaka manyanya wewe fundi sana naomba mungu akuzidishe ili uwe Bora kuliko wengine, nimejifuza mengi kutoka kwako kaka angu manyanya❤🎉🎉🎉🎉

DanielDaniel-di