AGANO (Ep 09)

preview_player
Показать описание
#agano
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

ila mwanangu chapombe kiukweli ananifraisha sana na ndio kafanya. hii move inoge zaidi wallah😂😂 vipili pilo kidgo chumvi pembeni afu anapatia sana hii sekta😂😂

hythamshadrack
Автор

Dah ii muvi imekuwa tam kuzid ata soda

InnosBosco
Автор

Kazi nzuri Sana ongera..sio kua umbaya kicheche na veilent walienda wap

jacklineteresia
Автор

Kazi nzuri xana MUNGU Awabarikii xanaaa wotee kiukweli mnatufanya tufulahi ila tuongezeeni dakika

angelrichard
Автор

Ata kama ni me Chelewa ila naomba like zeno

DomingosMacaicaAndre
Автор

Uyu mdada alie cheza na manyanya kiukweli aliboa sana ata kama weee mchawi do mdawote uwe kazini kwamumeo na kuiharibu kaziyake

patriciachangawa
Автор

Huyu mlevi kiboko kwani vitu kazipeleka wap😅😅 gonga like wa kwanza Toka kenya

brucerinka
Автор

Much love From Burundi gonga like watu wa bongo tujuwane🙏☝️

guilonbreezy
Автор

Dah hii mum imekuwa tamu kuzid hata ya dunia

HawaDickson-dn
Автор

"na usichokijua wewe ndio mwanamke wa kwanza kuingia kweny hili geto"
We are

ramadhanmuhsin
Автор

Naomba kufaham iyo nyimbo imeimbwa nanan meipnd xna

GagalinoMasudi
Автор

Huy mchaw mpya kumbe Anajua kuongea chingeresa😅😅😅

MuntazySaidy
Автор

Daah hii move adi nawahulumia manyny na manes zake

MousaAmos
Автор

Lelelelelelele ongera sana, naona muddy n'a mkewe sinji wanaendana sana sana sana sana 😅😅😅

NasbriJoseph
Автор

Wanani wanapenda iyi films tujuwane😂😂😂

MariamRashidi-nu
Автор

Kiwukweri, mukwe wamanyanya amezi di, wuchawi

BernardBeatrice-md
Автор

Kuangalia tu ila kushare aaah😂😂😂😂
Subscribe basi😅

marywairimu