DUNIA (Ep 18)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hii move kiukweli ina gusa sana maisha ya watu tofauti tofauti ebu kama na wewe imegusa sehem ya maisha yako weka like apa

SamweliJoseph-lwqz
Автор

Mamuzi ya mnyanya nimeyapebda anae ungana na mim gonga like

AngelKisole
Автор

Muwe mnatuongezea dakika hii muvi ni kalii sana jmn au mnasemaje jmn wadauu🎉🎉🎉❤❤❤

Gloriarespiki
Автор

Hii Tamthilia isambae kila kona Duniani anae ungana nami aweke like yake

rogerslwitiko
Автор

Watu wote ambao mnafuatilia hii movie bx mko kwenye darasa la manyanya na nje ya kuingiza pesa kwa manyanya basinhuyu ni mwalimu mzuri wa maisha congratulations mwalimu manyanya 👏👏👏👏

mwamba-yqnu
Автор

Kwa kweli inafundisha sana aisee, Manyanya salute sana.

ZuhuraNgasinda
Автор

Iyi movie inamafunzo mnoo kbsa i like it madame mudi nimustarabu sana sijawai kuona wallah

NizigiyimanaEmmanuel-cf
Автор

Nashangaa watu Wa nauliza kama manyanya yuko Sawa kwangu yuko Sawa maana amejaribu kumelimisha mkewe kwa Muda mrefu, mkewe kila mara kufoka, kejeli manyanya ni binadamu haswa mume, kwake alioa ili apate Amani Na si kashfa Na sarakasi, mimi ningelikua nilienda kitambo dunia ya Leo wanawake ni wengi tu.

declarkodour
Автор

Manyanya shikamoo 😆😆

Mungu akupe maisha marefu kwa kutuletea movie hii❤️🙏🏻🙏🏻

esperiusedwin
Автор

Jamn jitahidini kurusha vipande viwili kwa siku jamn dunia ni balaaaa hongereni sana kazi ni nzuri mno

PriscaAlly-ox
Автор

Manyanya unajua leo umenifurahisha mpk nimegoga meza shikamoo manyanya 🙌🙌

Maryam-se
Автор

Hii Series Imezidi kuwa ya Moto kiukweli imezidi kututeka hongera sana Team nzima ya Asma Film 🎬, Kama unapenda Episode ya 18, Ila Huyu Mudi ni Pasua Kichwa, Manyanya nayeye ni Wa Moto.. Gonga like hapa🎉🎉🎉❤❤❤

KibweOnlineTv
Автор

naaaam kabisa ombi langu lilikua manyanya kuderty na Marty 😁😁💯 movie Kali 💪🏿✊🏿

PiusRojas
Автор

Manyanya ulipomnyanyua mart had nam nimesisimka una ujasili mzito❤❤❤

MudatyKupela-
Автор

Hongera manyanya uko na hekima sana, ulivyo kubali maamuzi ya mkeo imekua nzuri, pili ulivyo ongea na matilda na mkaridhiana ❤❤❤

Kivungamlamba
Автор

waooooh wanaosubir ndoa ya mati na manyanya tujuaneeeh❤❤😂😂😂

JosephErast-sc
Автор

Hongera manyanya kwa kuwaisha move ya dunia hakika mashabiki zako tunainjoy sana

MkapaJohn
Автор

Hayo maisha ya Cha pombe na mke wake ni uhalisia kabisa Kuna jirani yangu yeye na mke wake ni hivo hivo 😂😂

KhadijaKhamiss
Автор

Kwa kweli mungu Awa bariki zaidi, kwa kazi munayo fanya

michelmukata
Автор

nmeisubiri kwa hamu aki sikuwaza kama ingetoka leo love from mombasa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

alidzenze