DUNIA (Ep 24)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Manyanya best actor of all time🔥 wangapi wanamkubali

AbdulmalikYusuph-fu
Автор

Anaekelwa na tabia za mudy mzunguu tujuane hapaaa😅😅

JoyceKayombo-yg
Автор

Kaka manyanya umekua mrithi wa kanumba ongeza budii❤❤❤❤❤

MagesaMkami-ht
Автор

Leo Nimekuwa wa 210, Naomba Likes zenu Vipenzi wa Dunia Series hii ya Leo ni fire🔥, Hakika Kadri inavyoendelea ndiyo inavyokuwa nzuri hongera sana kwa Wahusika Wote🎉🎉❤❤

KibweOnlineTv
Автор

Msikose kukwambia Mungu jambo mnapo amka kutoka au mnapo ingia mwenyezi Mungu ni mjuzi wa yote tumshukuru kwa uzima 😭 wametuaga wenzetu wengi mno mwanzo Tanzania tusikose kumwambia Mungu jambo Asanteni.awalinde Mungu mwenyezi wetu

zahraabdul
Автор

Maty nakukubali sanaa kabisa unajuwa chepuka ila uka wekwa ndani inaeza pendeza Sanaa maty wewe nakupenda kabisa ❤

bazungudaniel
Автор

Wote mnaoangalia Dunia tamthilia mungu awabaliki kwa kila jambo🙏

evaristiAntony
Автор

Nampenda sana maty na manyanya wako very nice kazi nzur

AdamMohamedi
Автор

Any Rwandan here???what a beautiful movie ❤❤❤l like you guys keep forward 😘

TetaUwizeye
Автор

Wale tulioanza tangu mwanzo hadi sahv Mungu awabariki sana ❤❤

ShannyMoris
Автор

Manyanya always my mentor and always learning from you...much love from Kenya and appreciate what you people are doing

danielokello
Автор

Kaz nzuri sana na mmm natamani niwepo na mm kwenye hiii tamthilia

YusuphAmiri-yp
Автор

Team manyanya gonga like apo tujuane... from Moçambique 🇲🇿.

PiusmarioErnesto
Автор

Atakaesoma comment hii Mungu amvushe mwaka salama, , NAWAPENDA❤❤❤❤❤❤

Esther-gh
Автор

Manyanya una fundishwa tabia mbaya ijapokuwa wewe peke ndio mu anzilishi wa tabia hiyo 😂😂😂 lakini manyanya nakukubali Sanaa naji funza kitu kutoka kwako I'm from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

bazungudaniel
Автор

Kutoka nianze kuangalia hiki kipindi hakuna mtu ashainipea like ata moja. Wala kuangalia mziki wangu😭😭😭

Raphkid_ministry
Автор

Daah Kila penzi litaonja umauti ♥️♥️ unae mpenda kampenda mwengine uyo mwengine naye ana mwengine 🎉🎉🎉 true love never die ❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥🌟

DekelvaSoujaboy-mbps
Автор

😂😂😂😂😂 jorodan kakutana nakitu kizito chezeaaaa mishangaz ya bongo vizuriiii kwenye kushenyetaa ngumi

MalkiaDaud
Автор

Haaaa yaleo kali nimeipenda❤❤❤pongezi kwenu

MohammedKapipi
Автор

Jaman mimi nipo congo nawapenda sana ❤❤

ZawadiJetaime