DUNIA (Ep 12)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nataka nihesabu wangapi tunamkubali Manyanya kwakuweka like hapa

DonMooFILMES_Express
Автор

Hii tamsilia inafundisha sana maisha halisi ya mahusiano na ndoa pamoja na uvumilivu wangapi wanaipenda hiii tamsilia gonga like hapo chini

Jamalyjuma-jc
Автор

Mh uyu dada anaevumilia mlevi ❤❤❤❤ acha tumpe mauwa yake

BijouxSumahilie
Автор

Tangu nimeanza kufatilia hii movie najifunza vitu vingi sana yapo kwel mtaani tunaona wengi Tu 🎉🎉🎉😘😘😍😍

bethaaarcher
Автор

Aisee manyanya ni teacher mzuri Sana wa maisha sio kuigiza2 maisha anayajua nimependa anapomzungumzia mke wa m2 kwa uzito na kwa uchungu big up Sana broo 🙏 God bless you kwa ushauri mzuri unaoutoa katika jamii ufike mbali Zaid ya apo ulipotarajia kufika

MichaelMbwambo-tp
Автор

Ila hii muvi nimeipenda kwa jinsi inavofundisha mambo halisi yanayotokea katika familia za sasa hasa uswahilini❤❤❤

deogratiusmambi
Автор

Nasema iv manyanya umetoa point kubwa sana hapo mwisho kwel ndoa huvunjwa na mwanamke bt kuimalisha ndoa lejea kwa alie waunganisha hyo ndoa yaan Mungu
Oya kaka hapo umetisha sana
Mungu akubariki kwa huo ujumbe Mwenye masikio na asikie

Joshualumwesa
Автор

Mke wa mudy Mungu aku bariki sana. Akupe mwisho muzuri kuliko mwanzo

ChanceAkonkwa
Автор

Kaka manyanya salute kwako broooo ushauri unao tena namabari moja❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

NyongesaKelvin
Автор

Tunaotamani kuzaa mungu atupe watoto kabla ya mwaka kuisha

MariamAmir-xk
Автор

Duuuuh huyu mleviii anampa shida mkewee jamanii, wanaoungana na mm kama zooote.

IddaDaimonmfilinge
Автор

Tunaotamani Manyanya na Matilda wawe na mahusiano tujuane ili Vai ashike adabu.🎉😮

roseafrael
Автор

Hii speech ya manyanya kwa Jordan about wake za watu nahisi imegusa wengi sana 😢😢

Iddy_tz
Автор

Uyu manyanya mbona kipaji chake ni kikubwa mnooo ma Sha Allah namuona mbali sku zijazooo

HalimaNassoro-xg
Автор

Manyanya ulivaa uhusika kisawa sawa upo vizuri nakubali ila shemej kweli hio ndoa ni msokoto na inasokoteka kisawa sawa manyanya The Best for me ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

zahraabdul
Автор

Umu ndani mnatabia mbaya sana yaani mkiona mtu maarufu tu mnampa like kama zote basi mimi sio maarufu ila naomba ata like 10

hamisichau
Автор

Napenda sana move ya manyanya haswa hii napenda san kuifuatilia mjitahid

MasaluJuma-do
Автор

Wanaochukia DHAMBI ya usaliti twende pamoja❤❤❤❤

joelalphoncebanka-kyyu
Автор

Wangapi wanasema manyanya anajua sana kingereza ?? Gonga like

reginapesi
Автор

manyanya kaka nakuandalia zawad wallah hii movie itachukuwa nafasi ya movie bora duniani na ishallah tunzo ya mtanzania best move utaipata ishallah shikilia kipaji kaka utafika mbali sana kwa uwezo wa allah

mr.alhaji