DUNIA (Ep 16)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Brother Manyanya anatoa funzo kubwa sana wanao mkubali naomba like zenu apa

SamweliJoseph-lwqz
Автор

Kama unaamini unapumua kwa ajili ya mwenyezi Mungu bas dondosha like hapa

MichaelMosesmg
Автор

Hongera Manyanya kwa maneno yako yajaayo hekima na busara

IRATUZIAimable
Автор

Naipenda sana❤❤❤❤❤ muvi hii ya dunia kiukwel imenifunza nakunijeng maishan ❤❤🎉🎉 hongeren Sana wote mlio shiliki Kila mtu kafany vizur kwa sehem yake. Mungu awabarik sana

EmmanuelKaswalala-xz
Автор

Jodan na hio mishangazi mungu anakuona 😆😆😆, sema brother manyanya unajua sana kaka nakuona mbali.... Kaka.

AbimelickSadock-gh
Автор

Kazi nzuri Mungu awabari kwa kuelimisha jamii hata mm natamani Sana siku moja kipaji changu kionekane

Happiness-pr
Автор

Napendaga jinsi mnavyo leta muendelezo haraka haraka 😊

Djanjeeroo
Автор

KAMA UNAMKUBALI MKE WA MANYANYA GONGA LIKE HAPA, YANI NI BONGE LA MWANAMKE JAPO ANTENA YAKE INALETAGA CHENGA KIPINDI CHA SINEMA INAPOFIKA KWENYE UTAMU, Dah Lakini Mudi Alivyoita mwenyekiti 😂😂❤❤ Nawapenda sana Wote mnaofuatilia hii Series🎉🎉🎉

KibweOnlineTv
Автор

Uyu bi mbwa wa manyanya si mtu kweli iko naaribu mdogo yake ivi naomba like na mm back-san from drc congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤣🌍✍️🚦

Back-sanSaimonifather
Автор

Hongera mke wa mdy kwakuwa naroho ya kina binadamu ety hila anapitia wakati mugumu kwery 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nakupa big up mke was mdy 😢😢😢😢😢😢

SaidyshabanKumulima
Автор

Jamaan hii move nitamu na inaelimisha sana❤

Michujo_queen
Автор

Waliofurahia kuona shem anaumbuka mchana kweupe, gonga like za kutosha

AyubuKamendu-wo
Автор

Faka faka manyanya 😂😂😂wewe mauwa yako 🎉🎉🎉🎉umenifurahisha Aki

Najma-bcwl
Автор

King of love kabisa mzeeh wetu unatufurahisha sana kabisa

moustaphaYaramuremy-wxfm
Автор

Sijui nikuite dkt, profesa ama nikuitee nani manyanyaaa😅😅😅 nakupenda bure...

Collinsgwehona
Автор

Manyanya anaongea facts for sure hii ni mafunzo mazuri sana kwa wanandoa❤❤

Frank-lk
Автор

Shemeji kaumbuka alidharau maneno ya manyanya. 😂😂😂🤣🤣🤣 Kajiona ndio kafika 🤣🤣

zahraabdul
Автор

From Kenya, this thing is addictive bana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

kibz
Автор

Mudy unanivunja mbavu bhana unaogopa kupiga duh chukua maua yako unaweza sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

IssaMtumbela
Автор

Hongera sana manyanya Kama unapenda uyu jamaa usikose kugonga like hapa

suleimanngulu-uixb