DUNIA (Ep 25)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Manyanya mjanja sana kawapanga ni watu wake, gonga like km unamkubali manyanya

Hadija-ob
Автор

Makofi kwa manyanya jamenì amecheza vzur kwa vai ety kafungwa usku wote daaah😅😅😅😂😂😂jamani

PerisTabz
Автор

Leo nimekuwa wa 78, Kabla ya yote Wewe Unayesoma Comment hii Mwenyezi Mungu Akubariki Akufanyie Wepesi kwenye Utafutaji wako, Oya Dunia Series Hii Ya Leo Ni Fire Aliyemkubali manyanya kwa mbinu aliyoitumia baada ya kulala nje ya ndoa gonga like hapa 🔥🔥🎉🎉❤❤

KibweOnlineTv
Автор

Kazi nzuri sana huwa sipendi bongo movie, lakini hii nimeielewa sana.🔥🔥

LeontinaGeorge
Автор

Oya ongera manyanya na tim yako kwa kazi nzuri wanangu

WapoHao
Автор

Manyanya wewe kiboko umejua njia nzuri ya kujitetea, , , , ushawapa watu maarifa ya kujitetea, , , , hongera kwa kazi nzuri

omarabdallah
Автор

Mungu awalinde wote mnaofatilia Dunia gonga like hap🎉🎉py 🎉

VicentJonh-bo
Автор

Anae mkubali manyanya kuwa ni bingwa anipe lik zake apo chini❤❤

AmsiniMussa
Автор

Anaeungana namimi kuwa mudy mzungu akikaa vibaya church boy atapita namke wake tujuane hapa 😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤

JoyceKayombo-yg
Автор

Kazi safi sana guys, big it up, from kenya tunawakubali✅💯💪🏻❤

isabellahchuma
Автор

🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏻 ila manyanya akili unazo by professional kama mmnakubaliana na mimi like hapa

KidboeArajiga
Автор

Wa kwanza kutoka zanzibar mwera naomba like zangu

hafidhabdallah
Автор

Jamani mujikaze muongeze dakika, ya mcheze Season 2 naipenda sana iyi filamu ya Dunia imenifinza mengi from rdcongo kalemie 🇨🇩🇨🇩

christiankayembe
Автор

Wanaosema Michepuko inatumia dawa kwa waganga Manyanya kaja kuwafundisha kitu dada zetu na wake zetu kuwa mapenzi ni maneno matamu na kumjali mume kwa chakula kitamu kumsikiliza kumtii sio majibu ya ovyo kisa una pesa Hii move ina kila aina ya mafundisho kiburudisho kifupi ni kuna uwalisia wa maisha yetu asante Manyanya kwa Story nzuri

HamisiMadongo
Автор

Manyanya ameanza kupasahau nyumbn chezea maty ww😂😂😂😅

ZawadiMinza
Автор

Naona mahusiano ya mchungaji aman na mke wa mudi mbelen😂😅😅

RevocatusLucas-qd
Автор

Mnajua sana wote mlipshiliki humu move yenu toka mwanzo naifatilia nimejifunza mengi sana

IsayaMuse-uu
Автор

Uyo baba mchungaji anavocare😏😏ila sitaman aje adate na uyo dada me napenda mlevi wake aje abadilike awe mtu mwema

RoidaChaula-lz
Автор

𝚝𝚘𝚔𝚊 𝚗𝚒𝚊𝚗𝚣𝚎 𝚔𝚞𝚊𝚗𝚐𝚊𝚕𝚒𝚊 𝚍𝚞𝚊𝚗𝚒𝚊 𝚖𝚙𝚔 𝚕eo sijawai pewa like nipeni namie hata 5 tu nimkuwa wa kwanza lo 😢

HadiaAmiri-yz
Автор

Wart !! Watu huku inje wanlilia .anyanya, vaolet nae anangoja alazimishwe at choma ndani, choma ndani ashiii shabiki mugeni from kenya ❤❤❤

Faridah-jc