BEHIND THE GRAM EP 08 - TEASER

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kajala pacha wangu nakupenda sana❤❤❤❤

MuniraAntely
Автор

Kweli haya maigizo hahahah vinguo alichezea na Marioo yan hawa looh

TheodosiaTheobald
Автор

Good job sio poa mwanaume kuchezea mtoto wa mtu

MaryKimani-scrq
Автор

Did I here Kajala say "...disappointed on you..."😅😅😅 Watanzania wacheni kulazimisha kizungu.

carolpraise
Автор

Hivi hi huwa ni maigizo au riality show au ni nini hiki?

zawadichalale
Автор

I’m very disappointed in you apana on you 😂jamani mama mkwe 😂😂

queensiku
Автор

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hata sijui nacheka nini!!
Kwahiyo Zamaradi na ukubwa wake anaingizwa kwenye drama hizi?

ashuramadenge
Автор

Yaan wasenge hawa, me hta siwaelewi ila naona km wanajitahod kutuonyesha usenge wao tu😂😂😂😂😂

lindambilinyi
Автор

HAMNA JIPYA NYIE MSHAUMBUKA MARIO SUBIRI ZAMU YAKO WANAKUCHUNA WAKISHAMALIZA KUKUFILISI UTAONA NAWE UTAITWA MFUPI KAMA MWENZIO

ticia
Автор

Emu ngojen niuliz kdgo. Iv ata uko kweny tv inaonyesha iv iv au inakuaj maan sielew...?mmb yako haraka harak ni kipind au tangazo tyu uwa linapita au ni mm. Tyu ndy naona ivyo

rahmaomary
Автор

Kwaiyo baada ya hapa wakacheza mxiki manaake nguo nihizi wakiwa na mariop

lilianlwila
Автор

Maigozo hayo, Oyo nguo alivaa alipokuwa anacheza ma marioo, alafu apo anasema disappointed on you

salomemlagila
Автор

Reality na behind the scene ni wapi na wapi Tena? watz mna mambo

twaine
Автор

Halafu sijui anatuonajae hizi nguo sindio alikua kavaa alivyokua anacheza wimbo mpya wamarioo 😅😅😅

mwanaidikingazi
Автор

Watu wanatengeneza pesa nyie ni kucoment upuuzi tu jueni njia za kutafuta pesa sio michambo tu fyuuu😏😏

agnesmasoud
Автор

Sasa mbona amuweki uko kwnye you tube

RidyRidydelison
Автор

😂😂😂 kajara anachekesha mdaote huuu amekuaa wapi biti kashapita na mabwana alfuu ireo unarinda nini kashakua takataka😂

arbinuwamahoro
Автор

Hichokingereza sasa, sijui kwanini haongei kiswahilitu😂

sadikdhirani