DUNIA (Ep 28)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mm wa kwanza jamn tunaoamini manyanya Ana akil sana mpak amegundua mapema kumjuw rafiki wa kwel na wa uwongo ❤❤❤❤🎉

DoktaGidawida
Автор

Uyu dada mke wa mlevi anajuwa kutsheza filamu mungu amubariki

guilainematabishi
Автор

Wakenya gongeni likes hapa za Manyanya na team... Dah! Pongezi sana kwa Kazi Nzuri sana.... Nawakubali sana.

evambugua
Автор

Church boy church boy na sindi naona kabisa penzi linaenda kuwa kama la manyanya na mati😂😂 wanaokubaliana na mimi mnipe like jamani sijacomment hivi kwa kupenda 😢😢 nataka likes na mie

aishangambage
Автор

Penz tamu uku jmn sjawai kupata ata like moj naomben bc mungu awafikishe mwakan salama awape itaji la moyo wenu awafungulie milango ya baraka

SamiraMKONGO
Автор

Ila nikifatilia maneno ya manyanya Kuna mafudzo, tuna tamba pote, chado master, Kelvin, Hamed, clam VEVO, bab Olivia, mbila kusahau Mzee kicheche.na wapenda wote mungu atubariki sote tumalize mwaka vizuri 🙏🙏 inshallah kwa sis wa Islam 🎉

Justin_Nano
Автор

Nimependa sanaa hapo maty alivyo mwambia mm ni mke mwenzako

NestorySanga-yj
Автор

Katika series zote nlizowahi kuangalia, hii sio maigizo ni uhalisia mtupu, Najifunza mengi kwa kweli..hongereni sana❤❤❤.

sarikokiagape
Автор

My favorite series in Africa 🌍 good nice one job brother manyanya 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

AmaniNangerembe
Автор

Mimi wa kwanza Leo kutoka rd Congo 🇨🇩, naomba likes nyingiii

Nojabz
Автор

Kila siku na comment nasipati like😢😢😢🎉🎉🎉ila atakaye soma hii comment Mungu amtangulie katikati kila jambo hadi mwakani

RehemaGambo-xq
Автор

Mbona kama church boy anamuelewa mke WA mudy mudhungu kama unaona kama mm gonga like APA 😂😂

TereziaBalampama
Автор

Mungu atufikishe mwakan salama sote kwapamoja nawapend♥️♥️👌🏾

LehemaAlly
Автор

Kazi zuri sana kaka manyanya mungu akuinuwe marambiliyake

NeemaEli-wldz
Автор

Jman tayr hukuuu dunia imetinga ungeni bando Sasa msisahau like jmn na mm

abubakamuhoja
Автор

Burundi tunapenda Kiswahili ata like 10😢😢😢 jamani

Never-sf
Автор

Tusiwasahau Arini n mdewa ATI Hana nguvu za kiume😂😂😂😂mddi Amani atakuchukulia mke n hizo pombe zako, mati n manyanya tunatak mtoto episode ijayo ❤❤❤❤from 🇰🇪 kenya laki basi.

haluarahma
Автор

Alie gundua kwamb manyanya hana tai na mkewe hajagundua gonga like❤❤

SelemaniAlly-um
Автор

Yaani ukweli mimi siyajui maisha ya ndoa na kitoto cha 2000 lakin hii tamthiliya inanifunza mengi sana yaani dah mupewe maua yenu🎉🎉🎉🎉

jollyeversamwelmassam
Автор

😂😂😂😂😂😂mudi paka la baa 😂😂nani anamkubali mudi muzunguuuu😂😂😂😂😂

Mona-if