DUNIA (Ep 58)

preview_player
Показать описание


Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunaotamani hii movie ingie kila siku tujuwane😅😅😅🎉 nawapenda sana munaefuatilia Dunia ❤❤❤

WazaniAbedeRachide
Автор

Allahu Akbar🙏, Kama Umebarikiwa Kuimaliza siku yako vizuri gonga like hapa na kama bado upo kwenye mihangaiko muda Mwenyezi Mungu akuongoze na akuepushie matatizo, nawapenda sana Wadau wote mnaofuatilia Dunia Series🙏🙏🙏🌹🌹❤❤

KibweOnlineTv
Автор

Anae mchukia Manyanya subiri ukiolewa utajua nn maana ya ndoa na nn maana halis ya mum au mke wa Big up Manyanya cz hii ktk dunia ya Leo n funzoo kwa ambao hamjaolewa na hata walio olewa mjifunze kitu🎉🎉🎉🎉

ScolasticaScolastica
Автор

🎉🎉🎉Kwa hiyo manyanya ulimtumia Matilda kuwa fimbo na shule ya mkeo. Hivi hukuona njia nyingine ya kumuelimisha mkeo mpaka Matilda. 😢😢😢😢😢😢

bettykihwele
Автор

Ramadhan kareem vipenzi❤️❤️ Asante baba asma leo umewahisha Mungu ampone matilda jaman 🤲🏻🤲🏻

Rizikialiamechannel
Автор

kama unefuturu sema asante mungu wengine hawana chakuf by moka..jr❤

MOKA..FILM
Автор

Mwisho wako muddy wewe usipochunga utashikwa na wazimu I say 😂😂😂❤🎉🎉❤ Cindy Cindy -yeye anatafuta maisha kivyakeee😊😊😊😊halafu manyanya naomba usirudi kwa mchipuko wako tena mazee juu niaibu mambo ya ndoa Yako mpaka wazee wayaingilie aaaah noma sana!!!

Frank-lk
Автор

matlida mume wa mtu ni km gari la police litazunguka kote theli litaludi kituoni so tafuta wako mwenyew lkn pole sana. kwa kumpenda moj kwa moj mume wa mtu

ChibuDangote-zt
Автор

Nilichogundua mm humu ndani watu wengi wanapenda michepuko kuliko wake zao Hila manyanya unatufunza sana sisi tulikuwa ndoan na wasioolewa pia🙏

ZaiToto-be
Автор

Dunia series ni zaid ya darasa kwetu!❤
Pole Maty 😢

PrettyMarie
Автор

Matty wetu apone tu, Mungu ampe Afya na moyo wa kuvumilia kuvuka kwenye hiki kipindi kigumu🙏🏽

menejahimself
Автор

Hilo tangazo linamalza mda na ukiangalia mda wenyew n wanasema walitoe hlo tangazo like hapa😊😊😊

ConsolataAmon
Автор

Daah ❤❤adi nimependa timu vai tujuane 😂 mwenye ndoa zetu piga kelele

MlolaAsha
Автор

Manyanya Choma ndani😂 wooow congratulations guys🎉

Lion_Boy
Автор

Asante sn ila Nani alie gunduwa kwamba uki boyenyeza comment Mara 2 basi utakuwa ume like ?😂😂😂 From drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

Nojabz
Автор

Iyi inanimalizaka bangi naiipenda sana mwanjo paka hapa.❤❤❤ From Congo RDC 🇨🇩 munatcheza kama kanuma asante 👍

RachelKahindo-dg
Автор

Manyanya ataludi kwa Mati, wanaosapoti ebu tujuwane kwenye like 🎉🎉🎉😂mubarikiwe huuu mwezi mtukufu wa Ramadhane, ❤❤❤❤nawapenda sana.

SeverinoBAmbrosio-xu
Автор

Pole sana Maty mungu yupo, na yeye ndio nkubwa anajua yote. Mimi naamini kama Mat hutapata bahati nzuri sana❤❤. Basi kama tunampenda Mat haishi maisha mazuri na hasipate tabu sana naomba tujuane apa☝️🎉🎉❤

AlfaneNassoroFahamo
Автор

Unaetizama hii move ukiwa kitandani mungu akujalie maisha marefu🎉🎉🎉🎉

TinyVoice-ty
Автор

Movie jaman nzuri sana ila mnachelewesha sana mpaka hamu inaisha tunafuatilia zingine wanarusha kwa mda ila DUNIA daaah mnaboa kwa kwel

Zulfamnahaule