DUNIA (Ep 30)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Anae amni kuwa manyanya ame mnusuru mati kwa dawa ya Yule kathe aweke makopa Kopa ❤❤❤ like

AmsiniMussa
Автор

matrida anainogesha hii movie balaa tunakupenda sana mati wetu jamani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

nadyamayunga
Автор

ALIYEIONA HIII COMMENT MUNGU AMBARIKI AMUONDOSHEE MARADHI NA AMPEEE MWISHO MWEMA AMEEN

KINGABUMEKAR
Автор

Jamani anaye amini mungu ndo kila kitu kwake comment amina mungu atakuzidishia

NoahMsukuma-jm
Автор

Jamani! Watu wengi mnaongeleya kuusu manyanya Na wengine.
Lakini mnasaahu wimbo ni mtami sana Na unaongeza utamu katika filamu.

LysetteKandala-rvpg
Автор

Wakati nimeanza kuitazama hii move rafiki zang niliwambia watazame hii move wakawa wanaiponda ila mda ulivo zidi kwenda ndo wamekuwa wakwnza tena kuipenda yaan kiufupi hii ndio move bora kwangu mwaka huu 2024

AbinasBujiku-bh
Автор

Hii move ni maisha yetu tunayoishi wewe unaefatilia uwe unajifuza kitu kupitia haya mafundisho naamini utajifuza vingi katika maisha ya ndoa🙏😊

GiriadyMsumle-jwek
Автор

Jamani anaee penda penzi la manyanya na maty lidumu gonga laiki apo 🎉🎉

peteryohana
Автор

Ila manyanya noma san a tupo dalasani manyanya ndio teacher wetu 😂😂😂the king of love

magariabdallah
Автор

Semaaa mioondokoo ya catheee ya kirohoo mbayaaa nimeikubaliii japo nipo team maty😂❤

faudhiashaban
Автор

Jaman xixi tunaofatilia hii movi ya dunia namwomba mungu atuvukixhe mwaka xalama kama waamini ivo xema amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

JuliusJembelayexu-dhmm
Автор

Ila jamani mnachelewesha tunasubiri adi tunakonda huku😅😅kama umekonda kisa kusubiri movie weka like apo😅😅

FurahaSila
Автор

Jaman kuna earth 🌎 na kuna hii tamthiria hakika tunaenjoy....sanan kama tuko pamoja nataka nione like 👍 yako apo chini

MakwanaJr
Автор

Mchungaji kapata kondoo wake wakuchunga anyway dunia inatufunza mengi🎉🎉🎉

salhkiyagi
Автор

Ukweli hii sitor ya Manyanya imenigusa sana dahhh! Nimewehi mm kuwa hivi

God bless you Mr Manyanya🙏🙏

KefaDaniel-lv
Автор

Jaman, Manyanya Muwe mnawahi kutoa. Tunasubiri saaana. Respect kwenu.

AngelMfikwa
Автор

Mi kabla niwatch nipewe thumbs up ❤🇰🇪👍🏾

Nyanchama_zn
Автор

Mati anamtisha manyanya kweli mpaka manyanya anaogopaka sana kbs naomba like ata kumi tu namm back-san from drc congo ❤❤❤

Back-sanSaimonifather
Автор

Jamani ASMA FILMS tunaomba mtupositie nyimbo zenu hasawa hii nimetekwa na mapenzi🥰🥰🥰

MuzdarfatPius-csut
Автор

Hii movie imenisomesha sana ❤❤ manyanya and your team .. Mungu awabariki

SarafinaNyamvula