Azam Sports HD

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Studio mbovu kabisa. Huge investment na kistudio kama hicho mnaonekana hajafikia malengo. Tegenezeni studio nzuri bhana. Wachambuzi wanakaa kama wapo mkilutano wa walimu na wazazi shule.

epic
Автор

Mwaduke ni mashine, ni mapema sana kusema yanga ni nzuri, match ya jana haina tofauti na kmc, zote hizi ni team dhaifuuu, tulieni

danielabel
Автор

Mwaduke ni mchambuzi makini sana na point nyingi ssna, ni mwalimu mzuri pia, ASAS NA KMC HAWANA TIFAUTI NI TEAM DHAUFU ZOTE HIZO

danielabel
Автор

Mech ya leo sio kali kwaupand wa simba wana simb 2muombe mungu

AlexTiger-zfiz
Автор

mbona mpira unap chezwa uwanjan uku inakua youtube inakua nisauti kama ledio live inamaanagan sasa

barakanzunda
Автор

kwann msionyeshe mechi asa inamaana gani kusubscribe channel alf mambo yanakua kama radio bhana

tamimmakamba
Автор

Chapa hao lambalamba 2 tu kulinda heshima yetu

credondunguru
Автор

huyo bumbuli ni muongo au hajui historia ya ligi kuu timu ya kwanza kubeba ubingwa ni simba mwaka 1965 sio yanga yanga ni timu ya tatu 1965 1966 simba 1967 cosmopolitan na mwaka 1968 ndio yanga alichukua mara tano

shaabanbusolo