filmov
tv
Gwiji wa soka awang'ata sikio Azam FC mechi dhidi ya APR
Показать описание
“Wakimiliki mpira maana yake ni kwamba watakuwa salama” maneno ya nyota wa zamani wa Yanga SC, Kenneth Pius Mkapa akiwapa mbinu Azam FC, ili waweze kufanikiwa katika mchezo wa leo dhidi ya APR.
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika