Zirudishe chaneli zilizopotea katika AZAM TV mwenyewe

preview_player
Показать описание
Ni video itakayokupa muongozo namna ya kuzirejesha chaneli 5 zilizo toweka baada ya maboresho kufanywa na Azam media
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante saana ...barikiwa kwa msaada huu

lewiskika
Автор

Yaan inasaidia sanaa big up kaka aise 🔥🙌🙌

ireeenyy
Автор

Yan bro katika siku niliyo hangaika ni leo. But kupitia hii video nimefanikiwa asee asante ubarikiwe.

young_luda
Автор

Kila nikibonyeza limot ina andika no subtitle. Tatizo ni nini?

MwajumaMaurid
Автор

Asantee sana, video hii imenisaidia sana big up 🙌

neylatgodwin
Автор

Mi chanel nfogo sana zimepotea lakini najaribu hazirudi

aimerancedido
Автор

Azamu yangu haioneshi ikifika jiona cjui shda nn mawingu yanakuwa Amna yaan mpak jua liwake ndo utaangalia

RayMwasi
Автор

Nipo Mozambique, sioni channel kama mbc

binyamina
Автор

Mnielekeze na mimi inanionyesha no signal

zainawaradjab