Azam FC 0-3 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 09/05/2024

preview_player
Показать описание
MZIZIMA DERBY: Simba FC imeshinda 3-0 dhidi ya Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam.

Magoli yote yamefungwa kipindi cha pili akianza Sadio Kanoute dakika ya 63, Fabrice Ngoma dakika ya 77 na David Kameta dakika ya 89.

Azam FC walipata penati mapema lakini walikosa kupitia kwa Feisal Salum.... lakini pia kuna utata kuhusu tukio la Azam kupata goli iliyoamuliwa kuwa ilikuwa ni off-side.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Alie mkubali ayoub lakred naomba like

GiftNziku
Автор

Kama wewe ni mwana simba na umependa simba ya mgunda gonga like tafadhali ❤❤❤❤

emmanuelsanareemmanuelsana
Автор

Simba mmenifulaisha sana na Asante kwa kuwatuliza wambea Leo Simba nguvu moja

kitemerosanga
Автор

Im young african fans but i believe that lakred is a good keeper well done my fevourit . Keeper lukcred

daudkhatib-qntr
Автор

Kiukweli wamuachie hii team MGUNDA waache ungese kabisa yaani

mkanyafamily
Автор

simba nguvu moja mungu ibariki chama langu tufike mbali saidi ❤❤❤❤

maikomatayo
Автор

Hiri ni fundisho kwa uongozi wa simba mnajifanya sana na kuwa na imani na makocha wa inje sasa leo mmeona hata yule robatinho pia mmemwonea alikuwa anashilikiana vizuri na mgunda sasa mpeni mzawa acheni ukilitimba na makocha wageni

eliasnicolaurobath
Автор

Pasi ya masafa marefu iliyopita angan bila visa wala kibali 😂❤❤

aminatanzanya
Автор

Hii ndiyo Simba yetu mgunda Fanya kazi yako

Cony-we
Автор

Hongera kocha mugunda Kwa kutuheshimisha ubalikiwe sana

charleskingimwakasagule
Автор

Ukija bila gad tunagawa wastan kwa idadi 👏 well done makamanda 👊🔥 Simba 4 life ❤️❤️

andrewmadaga
Автор

Mgunda noma Ameamua kutuonesha kuwa simba kunawachezaji wazul❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

PetroMkota
Автор

Boli limetembea hongera our head coach Juma mgunda

Jabirkamugisha
Автор

Sh4 shits on target with three goals❤❤❤ hii ndo tunataka sasa sio shots on target kumi goli sifuri😂😂😂

annytahadrehem
Автор

Just won on 4RA today, bro. Feels great!

SultanNejdet
Автор

hapa kwa mgunda viongozi wa simba wajifunze

rashidkhamisjuma
Автор

Raha sana kwa wekundu wa msimbazi Simbaa 🎉🎉🎉

aminatanzanya
Автор

😂😂😂fei kiatu cha dhahabu ama ofa ya makolo imekuvuruga mbn sielewi mzenj mwenzangu

malietamaliet
Автор

Simba ya mgunda niatali sana huyu nikocha wapekee apa Tanzania

pendokulwa
Автор

Bro, 4RA is so cool! My brother told me about it.

VolkanAyse-bmdu