Vital'o FC 0-4 Yanga SC | Highlights | CAF CL 17/08/2024

preview_player
Показать описание
Magoli manne yamefungwa, Yanga ikishinda 4-0 ugenini dhidi ya Vital'o ya Burundi, mchezo wa kwanza hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa barani Afrika ukipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Wafungani ni Prince Dube dakika 6, Clatous Chama dakika ya 68, Clement Mzize dakika ya 74 na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 90.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yanga bingwa like kama unaipenda yanga africa

Machela-pjcv
Автор

Azizi key ndiomana anafanikiwa anafurahia sana wenzake wakifunga

LinahKeneth
Автор

Kila tim inayo fungwa na yanga inaonekaza zaifu kutokana na ubora wao ongera Gsm ongera mashabiki isiwe kwenye mafanikio2 ata kwenye changamoto tuwe pa1 na tim yetu asanteni mabingwa

LilyKoba-wxpj
Автор

Wengi hapa humuongelei set ups za Chama! Hii ndio sababu ya kumsajili! Jamaa ana VISION balaa, hatumii nguvu!

errydeo
Автор

Mechi nzuri kabisa pongezi kwa refaa 👌👌wakina kayoko wanalakujifunza hapa 💛💚🇹🇿daima mbele nyuma mwiko

malietamaliet
Автор

Warundi mpo vizuri hongeren kwa kufungwa 4 tu

bahatinyandula
Автор

ila Aziz ki ana upendo sana jamani💚💚💚💚

HappinessMocha
Автор

Yanga wapo kwenye pre season kutengeneza chemistry yao.

kolosii
Автор

Sisi mashabiki wa vitalo tunawapa hongera yangu tunakubali kushindwa

papybenshi
Автор

Ni ishara nzuri sana kwetu Wanayanga ni nyota njema ya Asubuhi ing'arayo

alphoncealmack
Автор

😭🇧🇮 watanzania SIJAPENDA mlicho tufanyia Sisi sote ni ndugu tena majirani 😭

blockmastory
Автор

Hivi hapa baado hawana huruma wananchi nimimi2 ndio pamenikosha ama kuna mwenzangu😂😂??

SIKUDHANISHIRINITZ
Автор

Tz big up kenya bado kwa ball tuko nyuma

REGISGUNNER
Автор

Wamewanywa supu mapema, hiyo ndio yanga 💚💚💛💛🇹🇿

MarycG
Автор

Mzize saivi imetimia ushambuliaji hakuna kwa sasa Tanzania staiker mwenye vigizo kamili kulingana na wewe mzize kama mimi mwana soccer nasema mshambuliaji gwiji mwamba ni mzize ulikua mbovu kwenye ufungaji na kwasasa naona magoli unayofunga uhakika Gamondi kakunoa

salimobeid
Автор

Hiyo ndiyo yangaa bhana❤ kwani hamuogopi tuu

Neemaamonmushy
Автор

Hata Hawa wabovu kama walivyo Simba Azam na kila tunaecheza nae
😂😂😂😂

gregorysixmund
Автор

Mpaka nahis kulia kwafuraha jamani ❤❤❤❤❤yanga

sharfasephu