Magoli | Azam FC 5-2 Coastal Union | Ngao ya Jamii 08/08/2024

preview_player
Показать описание
Azam FC imetinga fainali ya Ngao ya Jamii 2024 baada ya kuichapa Coastal Union mabao 5-2, mchezo wa nusu fainali ukipigwa Amaan Complex, Zanzibar......

Magoli ya Azam FC yametoka kwa Gibril Sillah 13’, Feisal Salum 40’, Jhonier Blanco 45’+1, Adam Adam 87' na Ever Meza 90'+2 huku magoli ya Coastal Union yakifungwa na Semfuko Charles 27’ na Abdallah Hassan 86'
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Leo nimekua wa kwanza 🕺🕺🕺jaman hata like 30 zinanitosha

huseinbusaba
Автор

Azam fc love fan team ya wanayich ya Rwanda rayon sports wlcme

shyakaemmanuel
Автор

Abdalla Hassan...the pride of Bandari fc❤

ahmedsoud
Автор

Azam jezi sio kabisa. Pongezi azam FC I wish mchukue ngao ya jamii

aminatanzanya
Автор

Azam fc karibuni kwetu rwanda tunawapenda Sana upige apr fc

dushimeaime
Автор

Costor wafungwe TU laana ya Simba na Bado. Mtafungwa sana

AbisinaRashidi-cd
Автор

Ingependeza sana mechi hizi zingechezwa katika Viwanja vya timu shiriki na sio Viwanja vya ugenini, , , naamini mechi hii ingekuwa Mkwakwani ingekuwa full house!

jumakapilima
Автор

Hayo magoli aliyofungwa Coastal, yana uzembe fulan, wanahitaj waimprove

worldhappiness
Автор

Azam ni team sema hawahongi media ili wazungumziwe kama Yanga😅

afterfull-time
Автор

This game was much better than Simba vs Yanga

inspioneers
Автор

Costo nawachukia sana baada ya kutufanyia ubaya kwa lawi

danmanga
Автор

Sauti ya James samwel naipokea vizuri jina la mtangazaji wa pili inaniitoka

mutungamutungwa
Автор

Team ya. Azam inapega apr welcome in kigali

shyakaemmanuel