Azam FC 2 -1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 17/03/2024

preview_player
Показать описание
DAR DERBY: Yanga SC imeangukia pua kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Azam FC, katika #DarDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Yanga imetangulia kupata bao kupitia kwa Clement Mzize dakika ya 10 kabla ya Azam kuchomoa dakika ya 19 kwa goli la Gibril Sillah na kisha Feisal Salum akafunga la ushindi dakika ya 51.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Waliofurahi kuona Fei toto kawabamiza Uto toa like please

eduuu
Автор

Fei anaweza sana m munguuu amsaidiee inshaàallah

OmanOman-iujf
Автор

Kwa upendeleo watu wa maana wanalunyasi gonga like hapa ishara kuwa tumefrahi leo😂😂

UmayyaNkya-zeri
Автор

Mlio kubali mfungwa na mliofurahi gonga

DanielLeskarMusic
Автор

2 Days to go...CRDB CUP FAINAL

TROPHY FOR AZAM FC 🙏

ukweli
Автор

Fei we fei tot we fei wew anaomb radh kwa wananch yang what a moment what a moment maneno matamu kwa kutoka kwa mwamba BARAK MPENJA saut ya rad 2 -1😂😂😂

InnocentKapinga-sysh
Автор

Kwahyo jana fei akawafanya vibya😂😂😂😂😂😂ila hakuna ck nimefurahi kama jana😂😂😂😂😂😂

UmmyZakiah
Автор

Ubingwa upo tu akikandwa moja tukamkanda bas tumebeba weka like piga kwa japo wamebebwa kuongeza dakika 5 pili 7 ili tu washinde

idrisaismail
Автор

Anaesema goli la fei ni offside bora asifatie mpira na afatilie nage

KIJUKUUCHAHILALI
Автор

Kama umesikia wimbo wa caf kwa mbali gonga like

BakariIddi-hc
Автор

Bora Azam mnetuheshimisha, walijiamini sana yang

AshaMbaraka-cbix
Автор

Naona yanga itapoteza michezo 3 mbele yani mamelod home and a way napoja na hii mambo yakienda kama yalivyo pangwa nawaoba yanga wata poteza ubora wao ko simba ta chukua ubingwa kama kuna mtu kanielewa naomba like

YohanaMwakaje
Автор

Hey young yanga, I'm from South Africa, we as Mamelodi Sundowns wont show any mercy to you. Better rest all your best players for our game. No

katlegomolelekwa
Автор

Ramadhan Kareem majini yote yamefungwa minyororo 😂😂❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏

chusseboywcb
Автор

I'm from South Africa a Chiefs fan..I admire Clement Mzize..Saw him at loftus against Sundowns hes a good player..quality 👍

jabu
Автор

naipenda yanga yangu wala cjutii kufungwa 💚💛💚💛

Mamunabeel-hhkb
Автор

19 July 2024

Usiku wa manane:::: All the Best Azam Fc next season 2024/25

ukweli
Автор

Wachawi hawafanyi kazi Ramadhani utopolo mmeyakanyaga😂😂😂

mohammedkidody
Автор

Mbona walisema team yao haitegemei mtu moja, tena wakasema Feisal hawezi kuwafunga kimetokea nini leo?

alfonceanton
Автор

Hii Highlight ifikishe View million 6 ...we Feisal wewe😊

ukweli