Penati ya ushindi | Azam FC 1-0 APR FC | CAF CL 18/08/2024

preview_player
Показать описание
Goli pekee la penati kutoka kwa Jhonier Blanco dakika ya 56 limeipa Azam FC ushindi wa bao 1-0 dhidi ya APR FC ya Rwanda katika mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex

Hili hapa goli....
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

so funny, hii si penalty! This referee diserves punishment.

kundwaalliane
Автор

Mbona Hajaguswa kabisa na azam wajitathmini mapema apr wamejipanga sanaaa kuweni makin Rwanda

Mhabeshi.Madayi
Автор

Hamna penalty hapo, kigali Azam hatoboi

benardbonephace
Автор

Mtangazaji mnafki hamn penalty hapoo eti rafu ya makusud rafu gan au utakos kazi😂😂😂

KennedyDaudy-we
Автор

Wewe naweunasifia ujinga mtangazaji amnatimuapa piasiopenati

JosephDaudi-nl
Автор

If the referee was not approached by Bakheresa Boss, is stupid because there was no penality

PapaManzi
Автор

Fei alitakiwa njano kwanza kwa kujiangusha

emmanuellupiga
Автор

Hawa marefa wanajaa refa anaye jitambua hawezi kutoa penalty ya kijinga

JacksoniPàul