Yanga SC 2-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 20/04/2024

preview_player
Показать описание
KARIAKOO DERBY: Yanga SC imeendeleza ubabe kwa kuichapa Simba mabao 2-1 kwa mara ya pili msimu huu, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Magoli ya Yanga yamefungwa kipindi cha kwanza na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 20 na Joseph Guede dakika ya 38.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tulio ludish ludish nyuma kwny goli la gued tu like hapa

Kingsunnymusic
Автор

Dear Tanzania Federation, the football is fantastic, the hipe is good and fans also another level but try to increase the lighting in the stadium. Love from Rwanda🇷🇼❤

rwangakugwabirakarl
Автор

NBC Premier league inhle igame ibhola lenu limunandi kakhulu ngiyawabuka lama highlights izinga lenu liphezulu siyabonga Azam Tv both Team play well Yanga Sc vs Simba Sc. Zululand District.

sifundomvubu
Автор

Uwe hai uwe hai, Yesu Yu hai... Amen.❤

bestkatunzi
Автор

Magoli yaliyofungwa na timu zote mbili ni mazuri sana 🔥🔥

rajabmwange
Автор

Hongera mtangazaji hapo mwishoni umenifurahisha umesema uwe hai uwe hai YESU YU HAI Hongera sana siku nyingine useme bila woga YESU YU HAI 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

pastorhermantv
Автор

Mi Gharib Mzinga Sina neno kabisa🔥🔥🔥💚💚💚💛💛

stellahibrahim
Автор

To all Kenyan 🇰🇪 tale a closer look at the pitch, muandamane mupate ka hii.

Ndisso
Автор

Makolo wapo namba 1 trending youtube😊😅😅

HelakridiWella
Автор

Hapa kweli yanga wameonesha ukubwa, ni kama walikuwa wanategua makombola ya Iran kwa Israel. Big up mabeki na kipa wao. Beki ingekuwa mbovu tungesema mengine.

kolosii
Автор

Hapo mashabiki wa makolo fc wamepata hasara tatu kwanza hamjaswali swala ya LASIR na magharibi lakini pia wamefungwa, Akhera wamepata hasara Dunia pia wamepata hasara. YANGA forever in our heart 🫀🫀🎉🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳 🟩🟩🟩☘️☘️☘️☘️💚💚💚💚💚💚💚💚💚

GreysonMdee-wmtn
Автор

Nimependa mzinga na mpenja nyote mlipoitangaza dabi kwa manjonjo hongereni.maadui ni wengi msiwape nafasi kuwagombanisha.🎉🎉🎉🎉

roudhamahmoud
Автор

I can't get enough of roulette. There's just something about the thrill of the spin. Ever have those lucky days

SinanHalil-ssgf
Автор

Mnyama aitwe mnyama na chura aitwe chura. Ila goli la Gwede limekaa kipakome zaidi. Bigup Gwede.

gerkombo
Автор

Ishallah tutakutana tena❤❤❤❤young African🎉🎉😊

MwanahawaSelemani-nnkl
Автор

Asantee sana Simba mume pambanaa sana atukati tamaaaa ndio mpiraaaa

imanuelzakayo
Автор

Kazi nzuri yanga mnatuheshimisha mashabiki wenu

gxxqwgd
Автор

Cha I league yenu isezingeni eliphezulu lo Azizi ngfisa azodlalela Kaizer Chief.❤

kmuciue
Автор

Hapo mashabiki wa makolo fc wamepata hasara tatu kwanza hawajaswali swala ya LASIR, MAGHARIBI lakini pia wamefungwa, Akhera wamepata hasara Dunia pia wamepata hasara. YANGA forever in our heart 🫀🫀🎉🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳 🟩🟩🟩☘️☘️☘️☘️💚💚💚💚💚💚💚💚💚

GreysonMdee-wmtn
Автор

Hii match Simba kapenda kufungwa hakika kwa nafasi hizi walizopata daah

paaboytz