Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023

preview_player
Показать описание
Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis.

Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati.

Tazama highlights....
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Alieangalia hii highlight tena wiki hii aweke like yake hapa

SIHAM-
Автор

Trh 5/6/2024 nipo hapa narudia mateso ya makolo kama na wewe unarudia mateso ya makolo LIKE 😂😂😂

Shadia
Автор

Love to watch Tanzanian football. Greetings from Europe.

TheMRmatt
Автор

Jamani sichoki kuangalia. Nimeirudia 24.12.2024

NeemaPaulor
Автор

Anayeangaliaaa hii tarehe 14 april awekee likes hapaa 😅😅😅😅😅

remistoclaskullaya
Автор

Nyie mwenzenu narudia tn na leo 25/12/2023 kuingalia hii mechi, , mwananchi mwezangu achia like za kutosha km tuko pamoja💚💛💚💛💚

magrethshishwa
Автор

11/1/2024 Yanga raha sana bhana like zenu ziwe nyingi wanayanga

SamwelThomas-lm
Автор

Anaetizama Leo taree 16 April aweke likes hapa😂😂😂

islamyusuf
Автор

Leo nimeamua kuangalia tena 😂😂😂😂Yanga raha bhna💛💚

irenejohnson
Автор

NANI MWINGINE ANAANGALIA LEO TAREHE 23/02/2024😅😅💪💪🔰🔰🔰🔰🔰🔰

kevymloje
Автор

Kama wewe shabiki wa yanga weka like hapa tujuaneee😂😂😂💚💚💛💛🫶

Shadia
Автор

Tulieangalia zaidi ya mara 5 tujuane tafadhar💚💚💚💚💚

HassaniMsigala
Автор

anayeangalia leo tar 3/8/2024 agonge like

beatricesaitoti
Автор

Hii game mie hua nairudia daily!!! Na Leo 19/4, Niko naiwatch

Kasika-hihf
Автор

km umerudia hiii mechi kuiangalia zaid ya mara moja kama mimi gonga like na comment chin hapo😅😅😅😅

shabbazeltv
Автор

Hii siku makolo hawataisahau kwenye maisha yao, kama Kuna mtu anapenda kuangalia kila mala kamm akizingumbuka Tano gonga like hapa

Grace-ejm
Автор

Tarehe 1 /1/2024 nan anaungana na mm kuangalia hapa❤❤❤❤😅😅😅

DominickJastin
Автор

Date 19 January 2024 Nani bado anarudia hii match ❤

MAMUUSUU
Автор

Nikiwa na stress nakuja hapa... Asante Yanga Kwa kumbukumbu hii

vedastomfilinge
Автор

NIMERUDI TENA KUCHEKI TAREHE 21, MWEZI 3 MWAKA 2024😂😂. LIKES ZOTE ZA

kevymloje