Azam FC 0-3 Simba SC | Magoli, Penati, Off-side | NBC Premier League 09/05/2024

preview_player
Показать описание
MZIZIMA DERBY: Simba FC imeshinda 3-0 dhidi ya Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam.

Magoli yote yamefungwa kipindi cha pili akianza Sadio Kanoute dakika ya 63, Fabrice Ngoma dakika ya 77 na David Kameta dakika ya 89.

Azam FC walipata penati mapema lakini walikosa kupitia kwa Feisal Salum.... lakini pia kuna utata kuhusu tukio la Azam kupata goli iliyoamuliwa kuwa ilikuwa ni off-side.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunaomkubali mgunda a.k.a pep guadiola mnene tujuane kwa likes hapa.❤❤ 🦁 🦁 🦁

AugustinoNgereja-nc
Автор

Simba yangu hoyoo.Yaan nimefurahi sana. Kaka Mgunda ongera sana tena sana. Walahi unatukonga moyo ambao ulikufa.❤❤❤❤👍👍👍🙏🙏

aminaomary
Автор

Nimependa vile video ipo clear, safi sana azam

Stays_Shopping
Автор

Mgunda apewe mchezaji anayetaka 💖.Hata yanga tuwapokonye wachezaji MO mwaga pesa

Thekidp
Автор

Mie nilisema mgunda Mwalim mzur sana wachezaji wakongwe masuper star wote kaweka nje

salehkhamis
Автор

Fukuza wazee hii ndio timu . Nipeni like zangu❤

assenganews
Автор

Waliofeel alichokifeel duchu gather here❤

estherpatrick
Автор

Nilitaka kutoa machozi aki simba forever ebu tuamini ngozi nyeus inaweza kufanya kitu

MRHURUMAHuruma
Автор

Cmba kocha mzungu wanini wakati mgunda yupo vzr sana

aliabdallasaid
Автор

❤❤😂simba sihami ila jamni mzamilu tumpe mauwa yani kama baba wa team pongez kwake

sunwizy
Автор

Simba hata ifanya vibaya kiasi gani si hami

HasaniDt
Автор

sisi ndoo simba nguvu moja l love simba ❤❤❤❤❤❤❤

maikomatayo
Автор

Mgunda wetu asanteee tunakupenda Milele❤

ivonachuwa
Автор

Mbona mmechelewa kupost hii au kwasababu Tim lenu ndio lililofungwa

babajay
Автор

Fredy asije kuachwa huyo jamaa mi naona ana kitu

donaldmartin-psig
Автор

Hii ndo simba nnayoijw mgunda kocha bhn❤❤❤

mohammedkidody
Автор

Heko kwa Kocha JM baba na mzazi vijana wana moyo na wanacheza kwa moyo mmoja ongera sana wote, lakini ongera baba mzazi J Mgunds

ikulunimahalipatakatifu
Автор

Mzamiru Kacheza vizuri Leo Fred anazidi kuongezeka ila Mgunda Maua yake

JoshuaMariki
Автор

Freddy anazidi kuleta matumaini makubwa sana kwa wnasimba.

ridhwanrashid