Magoli | Vital'o FC 0-4 Yanga SC | CAF CL 17/08/2024

preview_player
Показать описание
Magoli manne yamefungwa, Yanga ikishinda 4-0 ugenini dhidi ya Vital'o ya Burundi, mchezo wa kwanza hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa barani Afrika ukipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Wafungani ni Prince Dube dakika 6, Clatous Chama dakika ya 68, Clement Mzize dakika ya 74 na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 90.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi 10:9-10).

amanmalima
Автор

Tunaoipenda yanga naombeni like ❤zangu

SANANE
Автор

Asante Yesu.... Mungu ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania🙏

dianasamson
Автор

Ukimwamini Yesu Kristo kuwa ni Bwana, na kuwa Mungu alimfufua katika wafu.. utaokoka.

zakazitanzania
Автор

Mola awjalie kila la kheri mpka kulichkuwa kombe hili mwka huu inshallah amiin

sumaiyyazamilzamil
Автор

Hii YANGA ya mwaka huu itatesa sana.
Tutaficha wapi Gor Mahia yetu😢

jeremiahchitechi
Автор

Chama baba chama baba goal 1 asist 1 alhamudulilah 💚💛🔥💪🇹🇿

malietamaliet
Автор

Ukitaka kuifunga yanga jifunge mdomo kwanza🤣🤣💚💛🇹🇿💪🔥

malietamaliet
Автор

Mashaallah Alhamndulilah nakuomba M/Mungu wajaalie nguvu ufahamu na juhudi Inshaallah

rukiakyaka
Автор

Namsubiria zangu kesho Mzee wangu Saidi😂😂

elizabethywinnie
Автор

CHAMA WANANCHI TUNAKUPENDA....SAAANA... CHEZA MPIRA... ITS YOUR DESTINY... LIVE YOUR DREAMS .. DONT LIVE WITH PEOPLE WHO TALK NEGATIVE.. PROVE THAT GOD GAVE YOU A TALENT... AND YOU LIVE YOUR DREAMS.. GOD BLESS YOU BRO🙏

dianasamson
Автор

Ila icho kisigino cha chama kwenda kwa Dube mmekiona?? Bonge la Hongera Chama JR, , , Aucho na Dube.

ombenishirima
Автор

Hii ndo YANGA...NANI AIFUNGEEE??: HAMUIOGOPI??:😂😅😅

JESUS
Автор

Yanga hatuna ujirani kweny na hatukamatiki kweny jambo letu tukiamua letu

AbaidiiniNgweti
Автор

🇧🇮😭watanzania SIJAPENDA mlicho tufanyia Sisi sote ni ndugu tena majirani😭

blockmastory
Автор

Walipo kosea hawa Vitalo ni kuvaa jezi ya mbeya city😅

billgussy
Автор

Mumtafute msemaji wa vital O aje kuwa house boy kwangu, , hawezi tuletea dharau

Hapygideon
Автор

❤❤❤❤super waondoke nao wapuzi hao wasicheze tena na yanga pumbavuu yanga hoyee

HalimaKassim-yzwe
Автор

Ttz vimdomo mdomo mwatakiwa kuongea kidg ili muonewe huruma nyoko😅

gzsrxfw
Автор

Hii yanga utafungwa na yeyote hata na mashabiki

azizambise