DUNIA (Ep 34)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

HII NI ZAWADI YA CRISTMAS KWENU MASHABIKI ZETU, , TUNAWATAKIA HERI YA CRISTMAS MASHABIKI ZETU, TUNAWAPENDA MNO, ASANTENI 🙏🏻

asmacomedian
Автор

Hivi ni mimi tu au nina wenzangu ambao tunaona CINDY anajua kuigiza hadi kwa body language, ni anajua kuwazidi wengine humu, yaani cindy is my favorite actor kwa hii series.❤

hemedmaximus
Автор

Duu manyanya umezidii ujanja kwa mkewo bwana, 😂😂😂 Yani Matty umemuchanganya sana 🎉l manyana🎉❤

GraceMogha-rr
Автор

Cindy Leo ameongea adi moyoni najisikia huzuni, 😄😄😄

winfridaisack
Автор

Movie ikichelewa
Kiutalaam inaleta
Mmomnyoko wa ubongo.
Ambao hupelekea mashabiki kukosa furaha😂😂

sammyvijay
Автор

Napenda sana njia anazozitumia, kumtoka mkewe, asiye ona thamani yake, wapi likes za manyanya😂😂😂😂😂

HillaryMwachala
Автор

Msimuache huyu mama jamn amecheza vizr sana nmempenda mnoo

raphaelwillium
Автор

Nampenda san mke wa mood kama mpo mnae mpenda gonga like

InnocentNiyomwungere-fn
Автор

🎉🎉❤❤ kaka manyanya nimekunyoshea mikono, kazi nzuri kaka

AlisiaMagezi
Автор

Kutoka mozambique 🇲🇿, leo nimekuwa wa kwanza kulike na kucomment. ❤❤❤❤ Namkuba sana mchepuko wa Babu Ali Manyanya, analugha nzuri kama mwanamke anavyotakiwa kuwa. lakini ule mcharuko wako kule nyumbani lazima atakuuwa kwa mawazo.

ChristineChawasarira
Автор

KAMA UMEFANIKIWA KUIONA SIKU YA LEO GONGA LIKE HAPA PIA USISAHAU KUMSHUKURU MUNGU WETU, 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

KibweOnlineTv
Автор

Tunaendelea kujifunza zaidi zaidi.tumxhukuru allah atuvushe mwaka huu na atuvikishe mwaka mpya

MkkisanduLukanda
Автор

Manyanya mtu atali sana nakubali sana kazi yako bigapu sana♥️🌹🌹💪

SimonElias-qndi
Автор

Wanaoamin kuwa manyanya ndio staring wa movie weka like apa tujuane🫡

DeeDan-sjmr
Автор

Kwanza niwapongeze kwakazi nzuri mloifanya mmeyaishi maisha halisi tunayo yaishi kumbe watanzania tunaweza mungu awaongeze awape mafunuo mengine mungu ibaliki kazi hi nimewapenda bule

SajoMkali
Автор

Kuchelewa kupost movie kisycolojia inaitwa kuchelewa mlekezo manyanya, , , ebu mpost movie Kila siku bana tunaboeka jamani, , , kama uko na kuchelewa mlekezo konga like bwana allaaah

thedbshow
Автор

Am the first one here representing my fellow Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪, mkono juu kwa manyanya kwa kazi nzuri anayoifanya

Vanessamirabelle-rc
Автор

Mme wangu kipenzi usijaribu hizi mbinu za kivita za maana kitaalam inapelekea uchepukaji wa hali ya juu jamn khaaa manyanya wew

IvonaNdibalema-pm
Автор

Huyu bibi alipoingia tuh basi nikaoza na kicheko nilijuwa ni deal ya manyanya😂😂😂😂😂😂😂😂😂.

zahraabdul
Автор

Wangapi tunaikubali couple ya manyanya na Matty tujuane kwenye likes🎉🎉

AronJonathan-nc