Neema Gospel Choir - MWEMA

preview_player
Показать описание
God is the original definition of good. He is good in and of Himself.
Jesus said in Mark 10:18 “No one is good—except God alone.
God reveals his goodness to us through giving us his son Jesus Christ, through natural blessings and delivers us from distress, breaks the chains of sin that bind us, and turns the night to day.

Enter his gates with thanksgiving and his courts with praise; give thanks to him and praise his name. For the LORD is GOOD and his love endures forever; his faithfulness continues through all generations.
Psalms 100:4‭-‬5

𝗟𝘆𝗿𝗶𝗰𝘀:
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Lord Jesus you are so good we give you praise
(Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa)
(Lord Jesus you are so good we give you praise)

Utendayo ni mema sisi tunakupa sifa
What you do is good we give you praise
(Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa)
(Lord Jesus you are good we give you praise)

Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Be praised forever and ever we praise you
(Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa)
(Lord Jesus you are good we give you praise)

Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana
Splendor and majesty are yours , glory and power belongs to you
(Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana)
Splendor and majesty are yours , glory and power belongs to you

Usifiwe milele na milele twakupa sifa
(Usifiwe milele na milele twakupa sifa)
Be praised forever and ever we praise you

Ooooh ooooh oooh oooh
 
Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako
Lord we love to  praise your name
Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako
Lord we have reasons to sing your praises
 
Umetutendea ukarimu mwingi
You have been kind to us
Umetukumbuka wakati wa dhiki
You have looked back on us in the time of distress

Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Lord receive our heart's praises
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Lord you are worthy, only you Lord

Ooooh ooooh oooh oooh

On this very first drop 𝗠𝗪𝗘𝗠𝗔 from 𝗦𝗜𝗡𝗚 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞𝗦𝗚𝗜𝗩𝗜𝗡𝗚 (Worship in Spirit) Project held on 03 December 2021 at CCC Upanga Auditorium, We would like to thank God for the whole team, The Featured Drummer - Baraka Ngowi, Our Church - AICT Chang’ombe, The Committee, Our Sponsors & All contributions and support from everyone.

Song Written by Samwel Limbu

Credits:
Video, Directed & Edited by: Johnson Amigo
Audio - Captured, Mixed & Mastered by: Frester’s Record (Fredrick Masanja)

FOH and Backline Provided by;: ABE Professional Sound
Sound Engineer; Jeddy DC
Ass. Sound Engineers; Greyson Bruno & George Shoo
Lights: Allan Lights
Stage: Hugo Domingo
#neemagospelchoir #gospelmusic #gospeltanzania

𝐂𝐨𝐧𝐧𝐞𝐜𝐭 𝐰𝐢𝐭𝐡 𝐮𝐬 𝐕𝐢𝐚:
Instagram : Neema Gospel Choir
Fecebook : Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir
©2022
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

the first time I listened to this song I was at my lowest moment seeing my daughter on oxygen but this song taught me to thank God in every situation.after listening to this song on repeat for a week my girl was removed from oxygen and we were discharged from the hospital after spending a month and 2 weeks .for sure wacha Mungu apokee sifa za mioyo zetu

brendammoji
Автор

WOW!Nimeupenda sana wimbo huu na wacheza viombo MUNGU AWABARIKI C KWA SALSA YA YESU IYOOO.NIMEBARIKIWA MNOOO.MUNGU AWAINUE ZAIDI

CatherineNzeki
Автор

Jehova take all the glory!!
Very powerful song, everything on point Yesu awainue zaidi.

rehemasimfukwe
Автор

SIFA NA UTUKUFU ZINA WEWE MUNGU ❤❤❤🙏🏽🙏🏽

petronilaandrew
Автор

Nimekuja kisikiliza hu wimbo usiku huu ndipo nilale. Ganga like za kutosha kama unaipenda neema gospel 💕💕💕💕💕

alexyohana
Автор

Umetutendea ukarim mwingi 😢😢😢😢 Bwana pokea sifa za mioy I yetu😢😢❤

cateomondi
Автор

After struggling with infertility, God has blessed me with a beautiful, bouncy, healthy baby boy. Thank you God. Your love is amazing. ❤

worshiplibrary
Автор

Sasa ndugu zangu #NeemaGospelChoir mnapiga mziki mzuri hivi Huku Duniani🙆🏾‍♂️ Sasa huko mbinguni itakuaje??? Kwa Yesu raha sana🙌🏻🙌🏻🙌🏻

mcsmile_events
Автор

Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Utendayo ni mema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa

Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana
Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Ooooh ooooh oooh oooh

Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako
Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako
Umetutendea ukarimu mwingi
Umetukumbuka wakati wa dhiki
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako
Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako
Umetutendea ukarimu mwingi
Umetukumbuka wakati wa dhiki
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Ooooh ooooh oooh oooh

rahabgichere
Автор

I was homeless, got into drugs, went into prisons, then i got to know Jesus, He changed my life... Now i have a home, a wife, a lovely daughter and a new identity... A child of God.. Hallelujah.❤❤🙏🙏🙏

WorshipMusic-ymxv
Автор

Bwana pokea sifa za mioyo yetuuu bwana tunamshukuru

joycemtambi
Автор

Najivunia kuwa mtanzania guy's God bles you more and more 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥

l.emusickg
Автор

Mbona ndo Nimeuskia huu wimbo 2024😢. Great song composition and singing unto our Lord.

abigaelrotich
Автор

Mungu awabariki sana kwa kumsifu Mungu kwa moyo hivi nawapenda saaana

sebonikegobi
Автор

Nawapenda sana namtukuza Mungu Kwa ajiri yenu

theresiankwela
Автор

Mubariwe Wana Mungu kwa uduma nzuri sana nimefunguliwa kupitiya nyimbo hii ya Sifa, Sifa zote ni zake

AkiliBeatrice
Автор

Napenda Sana huuu wimbo Mungu awabariki

rahabumwakagugu
Автор

yesterday I was randomly listening to choir songs, and I was suddenly drawn to this particular song that is resonating with my current self. I have listened to other songs, and I can say I have found my season's flavor🙏🙏🙏

sarahkamau
Автор

Mziki imeenda shule..i love the way they play instruments..vocals on top Mungu awainue kabizaa nawapenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Princeloma
Автор

Hio composition is on another level...TZ mko mbele kwa hii maneno...jirani KE

mise