Neema Gospel Choir, AIC Chang'ombe - Burudani Moyoni (Official Video) 4K

preview_player
Показать описание
"Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na Roho yangu imemfurahia Mungu Mwokozi wangu."
Luka 1:46 - 47

"My Soul magnifies the Lord, and my Spirit has rejoiced in God my Savior"
Luke 1:46 - 47

Pangusa machozi yako
Wipe away your tears

Futa mavumbi shangilia
Wipe off the dust and rejoice

Amekuja mtetezi wako
for your advocate has come

Msaada kwa walio na shida
Helper for those in need

Uweza wa kifalme u mabegani mwake
The government is on his shoulders

Ameibeba Amani yako wewe
He carries your peace

Uzima wa milele,
Eternal life

Furaha na tumaini
Joy and hope

Mimi nawe tuwe nayo milele
So you and I shall have it eternally


Tuwe nayo tele, Amani na uzima
Let's have abundant life and peace

Tumaini lote, Yesu ndiye yote
Full hope, Jesus is above all

Ukimpata Yesu moyoni Moyoni,moyoni mwako
If you receive Jesus in your heart

Yesu atakufanya kuwa wake yeye
Jesus will make you His child

Utasahau shida zote
you will forget all the troubles

Burudani moyoni
Joy in my heart

Sina wasiwasi Yesu yupo
i'm not worried Jesus is there

Mpokee Yesu nawe leo moyoni
Receive Jesus in your heart

Akufanye upya moyo wako,
so he renews your heart

Uwe na Amani
and you may have peace

Find us on social Media:
Instagram: @NeemaGospelChoir
Facebook: @Neema Gospel Choir
Twitter: @NeemaGospelChoir

Contact Us:
Mobile: +255 (0) 766777288
WhatsApp +255 (0) 766777288
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

2024 Nan yuko hapa bado anauchek wimbo huu mzuri

georgekinabo
Автор

Hilda umejuaa kunifurahishaaa kiukwel hongereniii

jefredyfrednandy
Автор

Aminaa Mungu wa Mbinguni Awabaliki sna

winifrindamede
Автор

Nakumbuka siku nilikua msick my daughter akaniekea io song, ilibidi niamke nipanguze machozi naniburudike very powerful song

NzisaMakau-enne
Автор

Mpokee Yesu moyoni, akufanye upya moyo wako ue na AMANI🙏❤

magrethkiondo
Автор

Sauti ya Huyo Dada Ni kiwango Cha barabara ya juu kijazi interchange...

chrissmichaelmashouda
Автор

Hakika ukimpata Yesu utasahau shida zote haleluya

mesiyamakene
Автор

Hakika mbarikiwe ni wimbo mzuri tunit ya kisouth Africa

amosmasinga
Автор

Nabarikiwa sana na huu wimbo be blessed alot

matildachibuga
Автор

Tunaumalizia mwaka 2024 hapa. Mungu awatangulie

thaddeusm
Автор

Kenya tunawapenda Watanzania.Wimbo unasisimua kweli.Miondoko iko sawaa sana, hawa vijana wako titi, wako nyonyo kabisa...

Nimeupenda😍😍😍😍

dennismwangi
Автор

Cna wasi wasi yesu yupo. Wimbo unafarj sn Mungu azid kuwabark na awapandishe viwango vngne ktk uimbaj wenu

rachelrange
Автор

Kiukweli .Mungu awabariki neema gospel choir matia moyo sana kupitia nyimvo nawaombea muongezewe roho hiyo hiyo yakumtumikia Mungu nawapenda

dionesiasarakikya
Автор

Nampenda huyo mdada anae imbisha mungu amuongezee kipaji ilove

mariamdaudi
Автор

Wana heri waliomjua Kristo..kwa maana waishi katika pendo la neema waliolipokea kupitia imani na wala hawaenendi wala kuongozwa na sheria

amanizacharyson
Автор

Yan neema gospel n noumaaa nawaelew sana Kama na ww n mmojawapo gonga like👇

lightnesskweka
Автор

Asante YESU kwa kunitetea mwaka 2024, naomba uendelee kutembea nami 2025

Malkia_Richard
Автор

Neema goslpel, natamani kujua producer aliyeshoot kazi yenu jaman

mgurefanuel
Автор

Kumbe kina kibonge mlikuwepo ndio nawaona leo jaman...Mbarikiweeee❤❤❤

ESTERMWASILE-qkjk
Автор

Jamani sijawahi kuchoka kuuusiiliza huu wimbo. mbarikiwe vijana Mungu awe nanyi. nawapenda burebure

oscarmatamwa