Neema Gospel Choir - Tubariki Leo (Live Music Video)

preview_player
Показать описание
"Na Mungu anaweza kukubariki kwa wingi, ili katika mambo yote, kila wakati, ukiwa na kila kitu unachohitaji, utapata kwa wingi kufanya kazi njema zote." "Bwana alikaa juu katika gharika, na Bwana anakaa kama Mfalme milele. Bwana atawapa nguvu watu wake; Bwana atawabariki watu wake na amani."

"And God can bless you abundantly, so that in all things at all times, having all that you need, you will abound in every good work." "The Lord sat enthroned at the flood, and the Lord sits as King forever. The Lord will give strength to His people; the Lord will bless His people with peace."

Songwriter & Composer: Samuel Limbu
Leader: ⁠Glorie Kazadi Mutombo 🇨🇩

——

VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.

𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy
𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy)
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred
𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundamentals Limited
𝐑𝐢𝐠𝐠𝐢𝐧𝐠 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐟𝐞𝐭𝐲 𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maurice Sikuku 🇰🇪

𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
X: Neema Gospel Choir
Threads: Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir

𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288

©️2024
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ulisema hautatuacha kamwe
Ulisema hautatuacha kamwe

Hadi mwisho wa dahari
hautatuacha kamwe

Ulisema hautatutupa nje
Ulisema hautatutupa nje

Kila ajae kwako eeh hautamtupa nje

Baba tunaomba utubariki Leo
Tumeng'ang'ana nawe utubariki Leo

Hatuna mashaka na wewe
Mungu unafanya mambo yote
Kwa Utukufu wako,
Kwa Utukufu wako

Twatazamia baraka za rohoni na mwilini.
Hazitakawia twazingoja,
Baraka zi malangoni

Malangoni
Baraka zi Malangoni.

Hatuna mashaka na wewe
Mungu unafanya mambo yote
Kwa Utukufu wako.

NeemaGospelChoir
Автор

Tunaoikubali NEEMA GOSPEL CHOIR tujuane hapa kwa like

AugustinoNgereja-nc
Автор

tunaobarikiwa gonga likes hapa 🇺🇬🇰🇪🇹🇿🇷🇼

TheWorldGospel
Автор

Nahuu ni ukweli!,
Kwa kweli nimebarikiwa
Mnaorudia mara kwa mara wimbo huu like za kutoshaa hapa❤.
Neema Gospel Tembeeni vifua mbele, Mungu amewabariki!!.
Amen 🙏 🙏.
Barikiwa sana!!.
Nawapenda

lutumbinduta
Автор

Like za kutosha kwa neema gospel 🔥🔥 nyimbo kali vibe 💯

humphreypeter
Автор

Wale tumekuja kuangalia upya solo wetu baada ya kuicheck YAHWEH tujuane hapa Kwa likes.

ParapandaLutheranChoir
Автор

Kama unakubari Mungu anatubariki usipiti bira kugonga like kweny comment hii

kinggeniustz
Автор

The soloist has a very unique way of soloing the

lucyndungu
Автор

Blessings from your muslim friend of neema

AbdisalanMussa
Автор

Kama unaamini Bwana ana bariki nione likes watumishi wa

kalobeflix
Автор

Huu wimbo umezima playlist yangu yote umebaki umesimama no 1 treding tangu umeachiwa… Kweli ni Baraka tele

efronaaron
Автор

Hatuna mashaka na Wewe Mungu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥


Bwana Awabariki sana NGC❤

wasalipaharembo
Автор

Sweet melodies vocals, instruments na kila kitu kimeenda sawa kabisaa... bassist is on point, Freddie, willian, Andrew amd and yhe the drumisist though haonekani sura yake.... Kenyans lets do it as usual likes zije kabisaa 🇰🇪🇰🇪

gilbertkipkirui
Автор

My favourite song, now naelekea mara ya 50 kurudia kuangalia na sioni hata dalili ya kuchoka. God bless you my fam kazi yenu ni njema sana

kempsinternational
Автор

dakika ya 5:08-15 - give that BASIST his flowers NOW!!

tmagoti
Автор

Itoshe kusema Neema gospel choir Ur the best in Tz, East Africa na afrika Kwa ujumla. bassist apewe Maua yake jamaniii He did his best

daudichande
Автор

Ohooo solo list umenifrahisha sana, Mbarikiwe sana wimbo ni 💥💥💥💥

alistidiaanthony
Автор

These people from AICT Changombe gonna kill me one day😋😋🤣🤣kafupi katamu ....next song let a lady singer lead...i would love to see that

michaelomondi
Автор

The soloist carried that song so beautifully!!! 🎉🎉

gathua
Автор

Inamaana ni mimi peke yangu nimeuona wimbo mfupi..😢Nimebarikiwa sana..Yaani ni mfupi mzuri unatamani uendelee zaidiiii

africangospelhits