MWEMA -neema gospel choir,AIC Chang'ombe (official live music drum cover)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Umetisha bro 👌, unahitaji nguvu tu, baba kaza kuomba, wewe wa mambele huko...!

Edibily_Manyaga
Автор

Mungu akutangulie akufanyie wepesi katika kila jambo 🙏🙏🙏

eddahemmanuel
Автор

Kaka wewe ni kichwa kila hit ya drum umekalili hii ni fire sana

sammusic
Автор

Am also drummer and you are my favorite drummer bro, , , , tips zingine mi hutoa kwako you are such an encouragement to me

deniswangu
Автор

I couldn't watch a half of it, come on.
Stay blessed man of God.

elijahmtatuu
Автор

Hongerah saa, barikiwa sana, pia Mungu akulinde kila ckuchao, nguvu zadi❤❤❤❤

denniskigen
Автор

My role model am looking forward to be like

alvinlivaha
Автор

Your so amazing, kibali na baraka vikatembee na ww. Mungu akazidi kukunyanyua na kukufanya bora kila siku.

anethwilliam
Автор

Nice work kaka, naeza saidika na hii track

mutumagideonmusic
Автор

Fanya mwema by bellakombo na paul clement

gambikeyz
Автор

Cool nzuri sana bro i like it. Good pamoja sana.

imanifidelis
Автор

In next 10 years to tukiwa hai, utakuwa mbali sana. Mungu akutie nguvu

masalugusessa
Автор

Bro your the best nmependa sana 🙌🙌Mungu akupe vitu zaid🙏

noelayubu
Автор

Hongera sana Deus. Mungu akutangulie kaka, keep it up utafika mbali kwa neema ya Mungu

barakadamas