Neema Gospel Choir - Temporary

preview_player
Показать описание
Romans 8 says “in all things we are more than conquerors through Him that loved us”

𝗟𝘆𝗿𝗶𝗰𝘀:
Tokea mwanzo
From the beginning
Tumekusudiwa
We are destined
Tumeahidiwa
We are promised
Baraka za Bwana
The blessings of the Lord

Twajua thamani
We know the value
(Yetu kwa Bwana)
(Ours to the Lord)
Sisi ni warithi wa
We are the heirs
(Zake baraka)
(Of his blessing)

Mateso unayopitia ni temporary
Your sufferings are temporary
(Temporary)
Shida unazopitia ni temporary
The struggles you are going through are temporary
(Temporary)
Magumu unayopitia ni temporary
The difficulties you are going through are temporary

(Temporary)
Say temporary
(Temporary)

Inuka simama
Stand up
Wewe umebarikiwa
You are blessed
Inuka simama
Stand up
Kwake Bwana
For the Lord

Tokea mwanzo
From the beginning
Tumekusudiwa
We are destined
Tumeahidiwa
We are promised
Baraka za Bwana
The blessings of the Lord

Twajua thamani
We know the value
(Yetu kwa Bwana)
(Ours to the Lord)
Sisi ni warithi wa
We are the heirs
(Zake baraka)
(Of his blessing)

We are more than conquerors
(Conquerors)
Tunashinda zaidi ya kushinda
We are conquerors more than conquerors
Through Christ
__
On this 5th drop "Temporary" from 𝗦𝗜𝗡𝗚 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞𝗦𝗚𝗜𝗩𝗜𝗡𝗚 (Worship in Spirit) Project held on 03 December 2021 at CCC Upanga Auditorium, We would like to thank God for the whole team, The Song Leader Minister - David Kusekwa & Charles Kondoro, Our Church - AICT Chang’ombe, The Committee, Our Sponsors & All contributions and support from everyone.

Song Written by: Samwel Limbu

Credits:
Video Captured & Directed by: Johnson Amigo
Video Edited by: Titus Alfred
Color Graded by: Emack Studios
Audio - Captured, Mixed & Mastered by: Frester’s Record (Fredrick Masanja)

FOH and Backline Provided by;: ABE Professional Sound
Sound Engineer; Jeddy DC
Ass. Sound Engineers; Greyson Bruno & George Shoo
Lights: Allan Lights
Stage: Hugo Domingo
#neemagospelchoir #gospelmusic #gospeltanzania #Temporary

𝐂𝐨𝐧𝐧𝐞𝐜𝐭 𝐰𝐢𝐭𝐡 𝐮𝐬 𝐕𝐢𝐚:
Instagram : Neema Gospel Choir
Fecebook : Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir
©️2022
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I think the drummer is having a party in back by himself

febianandunguru
Автор

aiseeh! kama unaamini ili Song ni kubwa sana gonga like apa 🤗

praygodmtera
Автор

huwa nawashangaaga sana wanaosem kuokoka ni ushamba waje waone vijana wa YESU wakifanya yao huku kwa YESU ni raha tu🥰

dorcastesha
Автор

Wapiga vyombo mpo vizur hatari....Atukuzwe huyu Yesu sio kwa utamu huu

mellymanywelecosmetics
Автор

2024 Bado naendlea kubarikiwa na nyimbo zetu pendwa

EzekielKitambo
Автор

Very good 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

Ongeza bidii ❤❤😢

kessanta
Автор

Mwenye amewatch this song ten times mikono juu 💃💃💃💃 🖐️🖐️🖐️

lornaamakombo
Автор

kuna namna vibe linakuja tu automatic pamoja na mablessings moyoni ....rudi kwa jesus kumenoga

mosesmhina
Автор

Very nice 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍 bwana yesu asifiwe sana 😮❤❤❤❤❤❤❤

Habari za uhakika utashangaa jinsi ambavyo alikuwa kama mtu
😂

kessanta
Автор

Kwa kweli Huu wimbo Mzuri sana.Inamtukuza Mungu Vzr. Miondoko Kama Nje Vile.

milgrethlaideson
Автор

The choir band in Heaven i see it will.come from Tanzania..They hear God properly to unleash kiswahili songs in style that are a blessing.. Keep it glowing

dottywonderful
Автор

Aiseee tangu mwanzo mpaka mwisho natabasamu tu aiseee mmenibariki i love the energy you have

God bless you so much

rehemasimfukwe
Автор

daa ni noma aisee Ila Kwan kubeba mimba ni temporary

MonicaBundala-ub
Автор

Christian life is not boring😂 The truth is the Christian life is where we find true joy and lasting peace, hope and contentment.

neemanelkas
Автор

Tanzanian live music is revolutionary….I love it 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

denniskinuthia
Автор

Jaman sam base, baraka ngowi kaka andrew pmj na ma md's kwenu pongezi

johnchristian
Автор

Nina miakasijaenda mahali kuabudu nimemuona Mungu ndani Yeny

donnamnele
Автор

Neema mmenishinda tabia👋👋👋👋🤣🤣utukufi Kwa Mungu Mungu azidi kuwainua mmejitoa kweli kwenye kazi ya Bwana

geofreymhina
Автор

Nimependa sana, ujumbe, midundo na kucheza...

carmilladhahabu
Автор

Nomaa nyingi sanaa libalikiwe tumbo lililo mzaa masanja

timothshija