Unaweza - Neema Gospel Choir

preview_player
Показать описание
They will fight with the Lamb, but the Lamb will conquer them, for he is Lord of lords and king of kings, and those with him are called, chosen, and faithful. ~ Revelation 17:14

ENGLISH LYRICS:
Lord of lords,
You are able,
Who is like you Lord of lords?

We praise your name,
We exalt your name,
You are the king of kings.

Lord, your hand performs great deeds,
You have given us salvation,
Who is like you Lord of lords?

Oh Lord, God of hosts.
Oh Lord, make your face shine upon us.
Oh Lord Oh Lord
And we shall be saved forever and ever.

Even as people change.
You never change.
Not like a man to deceive.
Your truth endures forever.

Lord, your hand performs great deeds,
You have given us salvation,
Who is like you Lord of lords?

SWAHILI LYRICS:
Mwokozi wetu Yesu,
Bwana wa mabwana,
Unaweza,
nani kama wewe Bwana wa mabwana?

Tunalisifu jina lako,
Tunatukuza jina lako,
Wewe ni mfalme wa wafalme.

Bwana mkono wako Hutenda makuu,
Umetupa wokovu,
Nani kama wewe Bwana wa mabwana?

Ee Bwana, Mungu wa majeshi
Ee Bwana, utuangazie

Nuru za uso wako
Ee Bwana Ee Bwana
Nasi tutaokoka
Milele milele

Hata watu wabadilike
Wewe kamwe hubadiliki
Si kama mtu udanganye
Kweli yako ni ya milele

On this 8th drop, UNAWEZA from 𝗦𝗜𝗡𝗚 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞𝗦𝗚𝗜𝗩𝗜𝗡𝗚 (Worship in Spirit) Project held on 03 December 2021 at CCC Upanga Auditorium, We would like to thank God for the whole team, Our Church - AICT Chang’ombe, The Committee, Our Sponsors & All contributions and support from everyone.

Song Written by Samwel Limbu

Credits:
Video, Directed by: Johnson Amigo
Edited by: Titus Alfred
Audio - Captured, Mixed & Mastered by: Frester’s Record (Fredrick Masanja)
FOH and Backline Provided by;: ABE Professional Sound
Sound Engineer; Jeddy DC
Ass. Sound Engineers; Greyson Bruno & George Shoo
Lights: Allan Lights
Stage: Hugo Domingo

#neemagospelchoir #gospelmusic #unaweza #music

𝐂𝐨𝐧𝐧𝐞𝐜𝐭 𝐰𝐢𝐭𝐡 𝐮𝐬 𝐕𝐢𝐚:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir

©2023
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwa SADAKA tuma kwenda; M-PESA +255 756 707070 - Neema Gospel Choir. ubarikiwe!

NeemaGospelChoir
Автор

I was waiting for this song 😂😂😂😂😂😢but finally imefika Neema you are doing it, ,,Wakenye njoo hii Imeweza like yako leta hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪

mosesblessing
Автор

KENYA AMBASSADOR ✔️✔️💯WEKA LIKE KENYA FOR REVIVAL

mcramtez
Автор

Palipo na kitu kizur shetani hachezi mbali ilikuvukuga mm nawaomba msipunguze kasi ya maombi mnayofanya mnaimba vizur sana tena sana sasa shetani najua halifurahii

consolatamedard
Автор

Ni njia gani naezatumia kujiunga na hiki kikundi.. love from Kenya ❤️❤️❤️

LifewithwinnieGithinji.
Автор

Asee hamjawahi kosea kbs nyie watu NAWAPENDA mnoooo🔥🔥❤️❤️mnanipa Raha kila IITWAYO Leo💞😋😋

marthathomas
Автор

Kenyans we can't afford to sleep on this🔥

joygituma
Автор

Tanzania mnakitu Cha kujivunia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tusifuni pamoja🙌🙌🙌

salomesemkiwa
Автор

Bro Mlingwa MUNGU azidi kukubariki Sana... Umezitendea haki drums Nyimbo nzuri Sana.... MUNGU azidi kuwainua....

johanesmshumbu
Автор

Am Ugandan🇺🇬
My Kenyan friend has directed me here.
It's beautiful 💕💕💕

bashmo
Автор

Kwaya hii mnaenda kwa masafa marefu ya Tai, mtafika mbali sana, nimewapenda tangu zamani, your Old school music was also very nice the likes of Watu 🇰🇪 MUNGU azidi kuwafurikia

erickmeshac
Автор

The guys on the instruments.Barikiweni.Solo, bass quitars, Main piano, drums moto sana.Lead singer and the entire choir mbarikiwe.From Kenya with Love

justusmakau
Автор

Huyu drummer ananikoshaga kwa upigaji wake ngoma. Yuko makini na mziki. Keep on doing my brother.

vascosteven
Автор

Wau I feel like am in heaven I think you will not miss that day when we are being called by our names in heaven.because it will be praising God throughout.

lychero
Автор

There is this little girl at the front. Eish!!😂😂 In the mouth of babes🙌

Gloriablessy
Автор

Aisee nyie watu mnajua saaana, MUNGU wambinguni azidi kuwatumia Zaid, kwaajili ya utukufu wake.❤️

marykayumba
Автор

So you guys ain't say anything abou the drummer 😅🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 the band nailed it, the choir nailed it, the lyrics cover it all meen🔥🔥🔥🙌🙌🙌

This is absolutely heavenly 😍

noahmisholi
Автор

Kwaya za Analogy zilikua sawa kwa ujumbe Digital kwaya imefuta makosa yote

thadeusmathiews
Автор

Naweza kusema kwa mara ya kwanza sikio langu limesikia that quality of live instrumental ambayo yenye soft base, solo string inavyo match na kwaya, Drums zimepigwa kwa mkono utadhani kwenye fruityloops🙌
huu wimbo utakuwa My favorite kwa huu mwaka,

noahb
Автор

From DRC, MWOKOZI WETU UNAWEZA.
CONGRATULATIONS CHOIR GRACE

ibrahimsonyofficiel