Neema Gospel Choir - Bado Ninakuamini (Live Music Video)

preview_player
Показать описание
Huu ni wimbo wenye nguvu ya imani na kujitolea. Ni safari ya kuamini na kumtegemea Bwana, ukiwa na ombi la uongozi na uwepo wake.

Pata ujumbe wenye kugusa moyo kwamba licha ya changamoto, kimbilio letu na msaada wetu vinabaki kwa Yesu pekee.

Wimbo huu uvuvie imani yako na ufanye upya tumaini lako kwa Mungu.

Songwriter & Composer: Godwin Mlambo
Leader: ⁠Loyce Simon

VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.

𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy
𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy)
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred
𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundamentals Limited
𝐑𝐢𝐠𝐠𝐢𝐧𝐠 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐟𝐞𝐭𝐲 𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maurice Sikuku 🇰🇪

𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
X: Neema Gospel Choir
Threads: Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir

𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288

©️2024
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nianze na wewe,
nimalize na wewe
Safari yangu niongozwe nawe

Ukiniacha nitapotea Bwana
Ukiniacha nitaangamia

Ukiniacha nitapotea Bwana
Usiruhusu yatokee haya

Kimbilio langu umebaki mwenyewe
Msaada wangu umebaki mwenyewe
Wewe tu, wewe tu

Bado ninakuamini

NeemaGospelChoir
Автор

Wangapi Yesu kabaki kwao kama kimbilio kwenye maisha yao....❤️❤️

JdKTVHomeofTechnology
Автор

JAMANI TANGU NIANZE KUCOMMENT SIJAWAHI KUPATA LIKE HATA MOJA😢😢🙆🙆

PascalChales-ro
Автор

Badooo nakuamini MUNGU TANZANIA MPOO WAPII GONGAA LIKE HAPAA ❤❤❤❤❤

deusgervas
Автор

Silent follower hebu kujeni apa, Nianze nawe na nimalize nawe Bwana, good song more grace guys🙏🙏🙏.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

faithkizaka
Автор

Wanaoupenda huu wimbo like zenu❤❤❤❤naanza na ww namaliza naww🎉❤amen bwana

modestamodesta
Автор

Ni wimbo wenye uhai ni wimbo wa kusimama nao katika kipindi chochote. Ni wimbo unaoweza kushinda nao siku nzima hasa ukiwa kwenye maombi ya mfungo, ni wimbo unaoweza kuamka nao usiku wa manane na kufungua mbingu zikafunguka. Mungu awabariki sana NGC, pia solo abarikiwe sana ❤❤❤🙏

masalugusessa
Автор

Huu ni aina ya Wimbo unaweza kukufanya ukalia sana mbele za Mungu, ukasema kila kitu kinachokusibu, ukalalamika, ukasema kila ulichoonewa

Siwezi hata kueleza 😭😭😭

GOD 🙌🏼

presenternoah
Автор

Mungu baba awabariki mnooo mnabariki mioyo yawatu wengi mnooo Mtunzwe na Mungu

ChausikuNyakyoma
Автор

Ukiniacha nitapotea BWANA..usiruhusu yatokee tena BWANA..wewe ndiye kimbilio langu..hata kama hukujibu utabaki kuwa bwana..hata kama walituacha ndugu jamaa na marafiki ..utabaki kuwa BWANA.

huldamushi
Автор

Bado ninakuamini, unishughulikie Baba yangu, ponya kila kitu kwa ukuu wako wewe ni Mwaminifu Baba yangu, kwa jina la Yesu Kristo ninakuamini

lydiamaniawafaith
Автор

Mungu Saidia Nchi Yangu Kenya. Bado Ninakuamini, hata kwenya haya mapigano na Maandamano ya Kuhusu Finance Bill

norwickwmandu
Автор

Very powerful message!! "Nianze na ww, nimalize na ww safari yangu niongozwe na ww". Mungu awape Nguvu Titus &Family

amosbulolelo
Автор

Powerful message, at the right time, May God confort Brother Titus & Family, wasiache kumuamin huyu Mungu. Katika mapito yote, Bado tutamuamini.

mwitanyaimaga
Автор

Wimbo mzuri sana huu nimebarikiwa sana

FausterLawrence
Автор

Bado ninakuamini, ,kimbilio langu ni wewe nNeema Gospel Choir you are blessed

ChombaKelvin-vk
Автор

Nitayainua macho tangu nitazame milima 🙌🙌 msaada wangu utatoka kwa Bwana 😢

ABBA FATHER WE TRUST YOU AS A NATION

gloryutukufu
Автор

Kiukweli katika wimbo wa neema uliowahi nigusa ssna sana ni huu dads ubarikiwe sana kuimba kws roho na mguso mkubwa

irenemwakajila
Автор

WATU HAWA WAMEBALIKIWA SANA KWA UIMBAJI MUNGU AZIDI KUWAINUA🙏🙏🙏♥️♥️🔥🔥

PascalChales-ro
Автор

Ambae hamalizi siku bila kusikiliza huu wimbo tujuane. Yaani toka nimeujua nimejikuta nataka niusikilize kila siku. unanibariki sana sana..asanteni Neema Gospel Choir

evelyneibrahim