Neema Gospel Choir - Permanent (Live Music Video)

preview_player
Показать описание
Tunamshukuru Mungu kwa mambo ya ajabu aliyotenda maishani Mwetu. Baraka na matendo yake yametuletea furaha na nguvu nyakati zote, hata nyakati za shida.

Kama asemavyo Mwandishi wa Zaburi, "BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi." (Zaburi 126:3).

🗯️🗯️🗯️🗯️
Kupitia wimbo huu wa PERMANENT tunaweza kuona ndani yake kuna:
📌Shukurani ya KiMungu (Divine Gratitude): Shukurani kwa matendo makuu ambayo Mungu ameyafanya katika maisha yetu.

📌Imani na Ujasiri (Faith and Confidence): Ujasiri na uhakika katika uwepo na msaada wa Mungu katika maisha yetu.

📌Ulinzi na Uwakili (Protection and Advocacy): Mungu anaelezwa kama mlinzi na mwakilishi ambaye huhakikisha usalama wetu na kupigania haki zetu.

📌Kudumu kwa Baraka (Permanent Blessings): Dhana ya agano la kudumu la baraka za Mungu inasisitizwa, ikionesha uhusiano usiovunjika na endelevu kati yetu na Mungu.

📌Kutokuwepo kwa Hofu (Absence of Fear): Hakikisho kutoka kwa Mungu husababisha kutokuwepo kwa hofu na taharuki katika maisha yetu.

Songwriter & Composer: Samuel Limbu & Fredrick Japhet Masanja
Leader: ⁠David Kusekwa, Mariam Protace & Esther Isaac Kilago

——

VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.

𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy
𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy)
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred
𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundamentals Limited
𝐑𝐢𝐠𝐠𝐢𝐧𝐠 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐟𝐞𝐭𝐲 𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maurice Sikuku 🇰🇪

𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
X: Neema Gospel Choir
Threads: Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir

𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288

©️2024
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Lyrics📌

Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea
Kanifanya niimbe Mbele ya adui nivimbe
Niko sure na huyu mzee Kanitendea
Amesema yuko nami wala siogopi Maana he is on my side
Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini Ni mtetezi wangu Permanent
Baba kasema nisihofu
yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka Ni Permanent
Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga
Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga
Oooh hatutanyang'anywa tena
Nimeshikika kwake Sitachomoka kwake Nipo Permanent
Baba kasema nisihofu
yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka Ni Permanent

NeemaGospelChoir
Автор

Alirejesha yale tulioibiwa, tukatabili na tukabariki, , sas yote yaliyolejeshwa na kutabiliwa na kubalikiwa leo yamekuwa PERMANENT 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 watu wa maana kabisa hawa kutoka kwa Mungu aliye

hezronbaraka
Автор

Number 1 from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania me your like now please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 soon My song it's enjoy your day for song neema gospel choir come like

OFFICIALSEMAH
Автор

Tuliobarikiwa, sasa baraka zetu zinaenda kuwa PERMANENT.Gonga 👍 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼

TheWorldGospel
Автор

Mungu azidi kuwainua kwa utumishi kwa ajili ya kumtumikia yeye

GideonmaccoGideon
Автор

Ila nyie watu kuna huyu mtu anaitwa *Titus Alfred* Najua kuandaa Editin zake mazeee aisee sio kitoto ni vibao vya nguvu and they are very generous 😊

ngatatv
Автор

🇷🇼 🇷🇼 🇷🇼 absolutely holy spirit is on me ❤❤❤

izabayofelix
Автор

Ilikuwa Temporary and now is PERMANENT. MWAMBA NI Yule yule i really like this creativity. God bless You

EdwardSamson-ufee
Автор

Wale wa gitaa la solo safari hii hawaja leta mambo yao sana, this time naona ilikuwa kwa pianist na bassist, na drumers . Wimbo mzuri edit nzuri, light engineer yuko vzr, stage sound yuko vzr pia.

simonmahega
Автор

Baba kasema nisihofu yuko nami Tena, nisifadhaike Mkataba wa Baraka ni Permanent.🎉❤😂

BenyDaniel
Автор

Greetings from Germany 🇩🇪 Siku moja mtakuja kwetu❤

davidschaermann
Автор

Mungu kanitendea❤❤❤neema gospel perma nent

Chripinbayo
Автор

Choirs nyinginezo zijifunze quality ya Recording kutoka kwa hawa jamaa, Mixing, Mastering ☑️

brandsmedia
Автор

Hakika nimefunga mkataba na huyu mzeee kwa kweli

SarahJilala
Автор

Shetani na watu wake kimya,
Mungu aendelee kuwaweka permanent,
Kila kitu kipo sawa kizazi muhimu Sana Cha AICT KWAYA, Kuliko vipindi vyote nimevisikiliza, muwekwe kwenye kumbukumbu ya kanisa mmekuwa mfano wa kwaya zote za AIC Hilo halina kupingwa,
Hakika mnaweka jiwe la ushuhuda kila mmoja anaona na kusikiliza,
Mtu akiona Ni rahisi ajaribu kufanya.

Hakika nimeamini Uwezo na bidii vinaanza ndio pesa inafata.🙌🙌

robertisack
Автор

Mbarikiwe nhuo zinabanana.sanaaa.ma.nyinyi ni.barua...

RoseSilas-ti
Автор

Yaani uhuni wa dunia umeingia kanisani, ndo nini hiko

elmasroj
Автор

Nyimbo zakuumiza vichwa kutunga ndo zinatakiwa saivi biashara yakua navinyimbo mserereko haitakiwi... wana wa Mungu tunatakiwa tuliteke soko lahuko mitandaon, sio kitu rahisi lakini kwakaz kama hizi naamini inawezekana....

fadhilidanieli
Автор

Bwana asifiwe neema gosple Mungu awabariki sana❤

junemarycharles
Автор

Wimbo Mzurii Sana, Mungu Azidi Kuwabariki Kwa Jumbe Zenu Nzurii Kila Kukichaa🙏🙏👏👏

isackobadiah