Neema Gospel Choir, AICT Chang'ombe - Burudani Moyoni (LIVE) The Night of Joy

preview_player
Показать описание
"Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na Roho yangu imemfurahia Mungu Mwokozi wangu."
Luka 1:46 - 47

"My Soul magnifies the Lord, and my Spirit has rejoiced in God my Savior"
Luke 1:46 - 47

Pangusa machozi yako
Wipe away your tears

Futa mavumbi shangilia
Wipe off the dust and rejoice

Amekuja mtetezi wako
for your advocate has come

Msaada kwa walio na shida
Helper for those in need

Uweza wa kifalme u mabegani mwake
The government is on his shoulders

Ameibeba Amani yako wewe
He carries your peace

Uzima wa milele,
Eternal life

Furaha na tumaini
Joy and hope

Mimi nawe tuwe nayo milele
So you and I shall have it eternally


Tuwe nayo tele, Amani na uzima
Let's have abundant life and peace

Tumaini lote, Yesu ndiye yote
Full hope, Jesus is above all

Ukimpata Yesu moyoni Moyoni,moyoni mwako
If you receive Jesus in your heart

Yesu atakufanya kuwa wake yeye
Jesus will make you His child

Utasahau shida zote
you will forget all the troubles

Burudani moyoni
Joy in my heart

Sina wasiwasi Yesu yupo
i'm not worried Jesus is there

Mpokee Yesu nawe Leo moyoni
Receive Jesus in your heart

Akufanye upya moyo wako,
so he renews your heart

Uwe na Amani
and you may have peace

Audio Recorded by: Frester's Record
Video Directed by: Upendo Media
Graphics By: Titus Alfred

Phone: +255 (0) 766 777 288

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwauimbaji uu Jaman msitende dhambi tufike wote mbinguni tukamsifu Mungu

consolatamedard
Автор

Burudani hakika nimeburudika nilikuwa naumwa hadi nimepona nimeamka niende kanisani sasa waooo

dianadaudi
Автор

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 nimebarikiwa na huu wimbo sanaa

TerryAkumu-qh
Автор

Kwa hakika ukimpata Yesu moyoni unasahau shida zote, be blessed watumishi wa mungu mtaikuta hazina yautumishi wenu inawangoja mbinguni, HALELUYA HALELUYA

yohanamogolo
Автор

AICT chang’ombe itabidi niwatembelee aroo nyimbo zenu ziko na upako maana 🎉mmetisha sana. I am your biggest fan ❤😊

bulaloalindamtobesyaofficial
Автор

Binge ya nyimbo! Mungu awabariki Sana muzidi kutenda kwa viwango vya namna na zaidi.

williammasubi
Автор

So far this is my favourite song Neema Gospel Choir wamewai nibariki nayo.... Hongereni sna

johnlihawa
Автор

Kiukweli huu wimbo umeinbwa katika roho mtakatifu sana yaani ukiusiliza unasisimkwa mwili mzima

awezayekyando
Автор

Hii nyimbo nmeisikiza audio kwa Mage ilikua nzuri...video kwa dada yule black it was firest
Hapa nazid kupata vitu vipya tena ...Blesses are to those who depend upon the Lord Jesus mbarikiwe. 🥰🥰🥰

frankrashid
Автор

yes kwa sababu ni yeye aliyetukomboa, jina la BWANA libalikiwe

JacksonJohn.GospelMucisian
Автор

Namtukuza Mungu kwa ajili yenu
Mbarikiwe sana.

levinaswai
Автор

This is how great choir do, I first heard the version by Magreth, followed by another version by another sister and this is another version with another sister but they are all good. God bless you abundantly

mathayomkumbuchile
Автор

I’m so proud of you my lovely sister and best friend ever @Mathatitus Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu

catherinekahabi
Автор

AM DR KINGAZI OF WALAWI GROUP ARUSHANAKUPONGEZA SANA MRS WILSON.NDUGU ZANGU WALIKUONA HUFAI.UKIKIKATAA WENGINE WANASEMA TUNAKIHIHITAJI, KAZI BUTI TATIZO NI UWEZO WAO MDOGO WA KUPAMBANUA SOMO LA UIMBAJI.BADO HAWAELEWI NINI MAANA YA MUZIKI,

mikekingazi
Автор

Nawapenda sn jaman
Mungu awabariki sn

satokusundwa
Автор

Jaman wimbo huu huwa unanibaliki sana mungu awabaliki Sana kwa kazi nzuri

pelesilazaro
Автор

Mbarikiwe Sana Watumishi wa MUNGU.Karibuni BABATI mje mfanye uinjilisti wapendwa. Ni Mtumishi mwenzenu Mch.Maela AICT Babati.

maelarobert
Автор

Sijawahi kuwachoka jmn Burudani moyoni sina wasiwasi hata maana Yesu yupo

angelmkini
Автор

Mungu nayapanguza machozi yangu maana najua wakati wangu umefika, its my season, my turn, my time, hallelujah

alicemuia
Автор

Mungu azidi kuwaimua, sauti na ujumbe, vyapendeza,

abdalahelihazina