Neema Gospel Choir - Jina Yesu Ft. Paul Clement (Official Live Music)

preview_player
Показать описание
Salvation is found in no one else, for there is no other name under heaven given to mankind by which we must be saved.” Acts 4:12

The name of Jesus carries powers that perform signs, wonders and set the captives free. The name of Jesus is the confidence of a believer. This is all a believer needs in life to succeed. Use it and be victorious in all battles.

Nobody can possess the power in the name of Jesus Christ without purity, Make sure you have a good relationship with God.

Therefore God exalted him to the highest place and gave him the name that is above every name, that at the name of Jesus every knee should bow, in heaven and on earth and under the earth, and every tongue acknowledge that Jesus Christ is Lord, to the glory of God the Father.
Philippians 2:9‭-‬11

𝗟𝘆𝗿𝗶𝗰𝘀:
Yako majina mengi
(Many names exist)
Yenye sifa nyingi
(Praiseworthy names)

Ila jina la Yesu limepita majina yote
(But the name of Jesus is above all names)

Jina hili la kuaminiwa
(The trustworthy name)
Jina hili la kutegemewa
(The dependable name)
Jina hili ni ngao na nguzo ya mataifa
(This name is the shield and pillar of the nations)

Jina hili la kuheshimiwa
(The glorious name)
Jina hili la kuinuliwa
( The exalted name)
Jina hili ni ngao na nguzo ya mataifa
(This name is the shield and pillar of the nations)

Ukiliita
(If you call upon)
Ukiliita, ukiliita lina msaada
(Will succour, when you call upon)

Ukilitaja
(If you profess)
Ukilitaja, ukilitaja lina msaada
(Will succour, when you profess)

Ukiliamini
(If you believe it)
Ukiliamini, ukiliamini lina msaada
(Will succour , if you believe it)

On this 2nd drop JINA YESU from 𝗦𝗜𝗡𝗚 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞𝗦𝗚𝗜𝗩𝗜𝗡𝗚 (Worship in Spirit) Project held on 03 December 2021 at CCC Upanga Auditorium, We would like to thank God for the whole team, The Featured Minister - Paul Clement, Our Church - AICT Chang’ombe, The Committee, Our Sponsors & All contributions and support from everyone.

Song Written by Paul Clement

Credits:
Video, Directed & Edited by: Johnson Amigo
Audio - Captured, Mixed & Mastered by: Frester’s Record (Fredrick Masanja)

FOH and Backline Provided by;: ABE Professional Sound
Sound Engineer; Jeddy DC
Ass. Sound Engineers; Greyson Bruno & George Shoo
Lights: Allan Lights
Stage: Hugo Domingo
#neemagospelchoir #paulclement #gospelmusic #gospeltanzania

𝐂𝐨𝐧𝐧𝐞𝐜𝐭 𝐰𝐢𝐭𝐡 𝐮𝐬 𝐕𝐢𝐚:
Instagram : Neema Gospel Choir
Fecebook : Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir
©️2022
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Lina msaada jina Yesu...ohoo my God am so blessed by brother Paul clement...May God expand this choir but remember "Ukiliamini Lina msaada" Amen

jamesmbolesila
Автор

Huwa najisikia faraja sana ninaposikiliza huu wimbo nafarijika sana

GeraldLukucha
Автор

My grand daughter 3years ald sing for me this song very well and we love the song very much God bless you singer's ❤

marionmuhanji
Автор

Pokeeni mauwa yenu nyimbo zenu zinaubariki sanaaaa moyo, 💐💐💐💐💐💐💐

MaryKweka-cx
Автор

Kuna baadhi ya sifa na upigaji wa vyomb inatipa picha ya mbinguni kwa hongeren sanaaa wapenz wetuuuu

lowasameliyo
Автор

Hivi wenzangu mshawahi kuwaza mbinguni hizo sauti na vyombo vitakuaje kama duniani tunaimba na hivi? Nyie tukaze mwendo tukaimbe na Baba yetu💃💃💃

brendachibura
Автор

Paul Clement nakupenda Sana unaimba kwa hisia Kali, kazi hii ni nzur, yaan nimewaza je huko mbinguni itakuwaje sauti na vyombo nikajikuta natabasamu huku nikisema yesu unastahili kusifiwa

mariamsanga
Автор

Duuuh Nyimbo nzuri San barkiwa mwimbaji

johnmkombozi
Автор

Paul paul paul nimekuta mara tatu hunampinzani rafiki yangu MUNGU azidi kukuweka miaka 10000 uone kizazi cha kwanza had cha 4 huwa unaponya wengi kupitia nyimbo zako barikiwa sanaaaa

zenicemtui
Автор

Glory to the Almighty
Praise the Name of the Lord
I love your music I'm from South Africa
Glory to God forward with Jesus Christ our Lord and Savior
We praise him with different languages but he understands everything
God bless you my brothers in Christ we are one ❤️❤️👐👐🙏🙏🇿🇦

freddybuthelezi
Автор

Ukilitaja jina la Yesu ni kweli lina msaada mimi nimeona ametenda kwangu mahali ambapo sikuona mwanga kabisa mahali nilipokataliwa nimelitaja jina la Yesu na ameninipa heshima na amani na furaha niamini mimi ila bila Yesu nisingekuwepo leo nakupenda Yesu

hellenrichard
Автор

2024..here we are, no other name but the name of our LORD JESUS ❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

valentinamwamburi
Автор

Hongereni viongozi nliokaa na kutafakari kitu kma hiki tumezoea kuona Joyous celebration, lakn leo hii inafanyika Tanzania 🇹🇿 clement God bless

jobuchitunda
Автор

Ahaaam kiukweli Kuna nguvu za MUNGU zinapita ndani yangu kiukweli mnajua pamoja na kaka angu Paul unajua sanaaa MUNGU awabariki siku moja nami ntafika hukoo

sallyhanc
Автор

Nawapenda mno awa waimbaji Mungu awa bariki

thehouseofprayerministry
Автор

Mwanangu anapenda nyimbo zadini jamn yan akisikia nyimbo zadin zinaimba atakama amelala anaamka😘🙏

haniphahanipha
Автор

Mtumishi wa mungu nakukubal sana barikiwa sana

zephaniamanyasi
Автор

Nikuomba tu mungu atupe mwisho muzuri sisi waimbaji dunia nzima, kuishi katika utakaso pia kusamehe wanao tukosea, kutazama mbingu, mungu awa tie nguvu💪🇨🇩

wivinemuderwa
Автор

mimi sina maneno mengi kaka awaga unani bariki saaaana Mungu akuba riki imaniyangu iposiku nitaimba na ww ubarikie sana

EstherMado-mnip
Автор

Jina la Yesu linamsaada. Kila mahali penye kikwazo nmekuwa nkilitaja Jina lako na kikwazo huondok pale napoisi kukata tamaa pindi nitamkapo Jina lako napata nguvu ya kuendelea. Asante Yesu Sifa na utukufu ni kwako.

dainesiakillian
join shbcf.ru