AGANO (Ep 18)

preview_player
Показать описание
#agano
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Aise mambo ndo sasa yana anza❤❤🎉🎉🎉nipeni ata 7

RosetteMaarashi
Автор

Wa Congo 🇨🇩 mupo ? Kasi boya ebele nazo zela bino naza ndeko na bino ya Katanga Lubumbashi.❤❤❤❤

_Wayiva_mukuta_jean
Автор

Mwamba mlev katikisa mguu Mbu kamng’ata😂

MariamKibwana-okcw
Автор

Jamani uyu mmama sialionge pale t alipokuwa anatk kupigwa sindano, imekuwaje sasa

SadrathGMisana
Автор

Ikowapi kanjii jamani muingijaji bora shukrani toka congo drc

ShukraniMbusa
Автор

KICHECHE vijana wapo so talented but wamekuwa wakiwa kwa kutokuepo kwako. Ila yote kwa yote tupo nao na insha'Allah wakikitahidi watafika Kule waliko wenzawao. Sisi ni waungaji mkono vijana wenzetu hatuna timu wala upande.

ALIMOHD-bklr
Автор

Nilipokion chungu kwenye kitand Cha Manyany nimeshangilia nikapig kelel Ila nimekul Kofi na sijamuon Alienipig

MuntazySaidy
Автор

Niko kenya nawapata vema. Kazi nzuri sana.❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

MarkOlubayo
Автор

Wakwanza leo naombeni like zenu toka kongo🇨🇩🇨🇩🇨🇩

kayboyfficiel
Автор

Sou primeira pessoa aqui Moçambique 🇲🇿, Bom trabalho all elmente BY grup

PREMIO
Автор

Gosto muito desse flm
From Moçambique
Yani naipenda sana kk manyanyha❤

ZONANORTEIBOAB
Автор

Naombeni kumi tu leo kwa wapenzi wot wa agano naomb kumit

RamadanRamadhaniJackson
Автор

Nakpenda sana ma. Manyanya kazi nzuri sana mungu awatie nguvu team manyanya wote

AtusajileNtandala
Автор

Hayo maswali singeuliza. Ningempa kibare cha mwaka

fednandwafulawanda
Автор

kaka movies Kali sana ila tupige mpya ipumuzike

CHIEF_WA_BUJONDE
Автор

Latifa kshanchoshaaaaghhh manyanya emu fanya ujue kinachoendelea

Naarbad_milas
Автор

Nampenda mama manyanya Toka kwenye binadamu wabaya ya kitale❤❤❤❤❤❤❤

NajmaRajabu-qe
Автор

Nani anaamini Manyanya ameshachukua nafasi ya Kicheche?. Na akikaza buti kwa baba Asma anaweza kufika mbali. Tatizo letu wabongo tuna ubinafsi sana na tamaa. Mbona nchi zingine huwezi kukuta wasanii wanamiliki channel zao binafsi au makampuni!!!?. Wasanii wakimkimbia baba Asma wajitegemee wanasahau na wao wasanii wao watawakimbia wakajitegemee. Siwezi kukubali kuwa baba Asma anawalipa pesa kutokana na filamu zao, bila shaka anatumia pesa nyingi kutoka mfukoni kwake.

DonMooFILMES_Express
Автор

❤❤❤🎉🎉🎉naipenda sana iyi movie ❤❤❤🎉🎉🎉nja kazi zuri ila musichelewe ku towa ❤❤❤❤🎉🎉🎉

GloireStephano