Neema Gospel Choir - Shangilieni //Furaha Gani (Live Music Video)

preview_player
Показать описание
Much love and appreciation to Tumaini Shangilieni Choir & Upendo Choir (Anglican St. James Church - Arusha Tanzania) for the original version of this song.

Tunasheherekea kuzaliwa kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo kupitia wimbo huu unaotangaza ukombozi na nuru ya Kristo inayotuangazia!

Wimbo huu unatukumbusha furaha tuliyonayo ndani ya Yesu ambaye ndiye njia, nguvu yetu, na hakikisho la furaha ya milele tukifika mbinguni.
Kwa imani, tuna hakikisho la ushindi, na kwa sifa, tunatangaza utukufu wa Mkombozi wetu.

Wimbo huu uinue moyo wako ukimshukuru Mungu kwa furaha ya wokovu na ahadi ya uzima wa milele.

Leader: ⁠Monica Zacharia & Tabitha Richard

#neemagospelchoir #gospel #shangilieni

——

VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.

𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy
𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy)
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred
𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundamentals Limited
𝐑𝐢𝐠𝐠𝐢𝐧𝐠 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐟𝐞𝐭𝐲 𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maurice Sikuku 🇰🇪

𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
X: Neema Gospel Choir
Threads: Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir

𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288

©️2024
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunashukuru mungu kwa neema ya kuifikia siku ya talehe 25/12/2024 ni kwa neema tu WANGAPI wamelazwa sisi ni kinanani ni neema tu 😢 (AMEN 🙏)

PascalChales-ro
Автор

Kale ka feelings ka furaha gani mimi nipo masanjaaa mtaniua😂😂😂

miriamkusula
Автор

Mwaimba kama wa Tanzania wa kale😢❤❤❤. Jamani tulikua tume miss uimbaji kama huu❤❤❤❤

christislord
Автор

NI FURAHA GHANI TUKIFIKA MBINGUNI?! Ni shangwe Na nderemo tu . ❤, Weka likes 🌍🇰🇪🇹🇿👍🔥🔥

TheWorldGospel
Автор

Daaaa hongereni saaana, ivi unaanzaje kumwacha yesu maburudani kama yote.

WinfridaJoshua
Автор

Nimefurahi kumuona huyo dada alieimbisha furaha gani ni wa muda mrefu neema gospel na still sauti yake ni🔥🔥

elipendodavid
Автор

Back in days Tumaini Shangilirni and Upendo St james in VHS 👏👏👏

BoniphaceManjeka
Автор

Dear my kids.. this was our best music we used to listen..😂

miriamkusula
Автор

Furaha gani wapendwa tukifika kwa Mwokozi 🙏🔥

lizzybethmlaki
Автор

Nimekumbuka mbali sana hii nyimbo 2002

adonis
Автор

Kwa kweli neema gospel choir mpewe maua yenu, mnajua kutubariki kwa kweli, watu wa music huu wimbo mmeitendea haki, nilitamani muendelee hata kwa sekunde 30 tu

sundaystanley
Автор

Mungu awabariki sana, wimbo umetulia. Amen Yesu azaliwe mioyoni mwetu

joasitz
Автор

Nakumbuka miaka hiyoo shangilieni Arusha moja

witneyjerry
Автор

The awesome flashbacks" I get when listening to this😁😁😁.

ShaddyMayieka
Автор

My lovely sis Tabby
Mungu akubariki sanaa
Muongezewe furaha na Yesu mwenyewe🥰🥰

neemamsuya
Автор

Tumepewa mkombozi alie Acha enzi mbunguni kwa ajiri yetu ni furaha kubwa hakiki tushaangilie barikiweni saaaana ❤❤❤🎉🎉🎉

KefrineKiregi-rx
Автор

Mungu Azidi Kuwabariki Kwa Kuendeleza Kutoa Nyimbo Nzurii za Kumtukuza Mungu.!👏👏🙏🙏

isackobadiah
Автор

Still the original hits to the core. Good jod thou

careenjones
Автор

Uyu Dada aloimbisha mwanzo apo mwanzo Ana sauti nzuri

UshindiGwivaha-yy
Автор

THABITHA tangu enzi za KANUMBA ❤🎉🎉 WE LOV YOU SISTER

samwellupimo