DUNIA (Ep 31)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Manyanya ni genius. napenda sana penzi lake na maty, sitaki waachane 🙏

vianneyarts
Автор

😮😮😮😮😮😢 pole jamon mchepuko wetu wa taifa matrida wanaume wote tunao kuangalia kwenye hii move tunakupenda na baadhi ya wanawake wanakupenda wewe ni mchepuko bora sana

kingriharasuworldwide
Автор

Kwa kweli kupitia hi muvi nmeanza kumwelewa mume wangu mana anachofanya, kaka manyanya kwa mkewe ndicho anachofanya mume wangu mpaka nawaza ni ndugu hawa kwakweli big up sana kaka manyanya ❤❤❤❤

TedyPeter-xm
Автор

Wahenga waliona vizuri sana walipo nena kikulacho kinguoni mwako 😢 tangu kuzaliwa zijawai ona kunguni aliekua kwa nguo ya mwengine kanivyonza damu. Ni yule tu alie nguoni mwangu wa karibu sana!!

lifelight
Автор

mudi unapepo yako ya kutupa buludani na 😅😅😅😅😅😅 like kwa mudi muzungu

JamilaRajabu-gp
Автор

Shangaz fetty alivyo kuwa 25yrs alikuwa wa moto sana coz n mrembo mnoo❤❤❤

rogatusmeleki
Автор

Simpendi cathe tunaomchukia cathe tujuane kwa like hapa, ila najua manyanya hatomuacha matlida ataambatana nae katika nyakati zotee🙏🙏

LuluPeter-ot
Автор

Ila Mudy Muzungu Chenga Sana😂😂, "Anyway" Wewe Unayetazama Hii Series Mwenyezi Mungu Akubariki sana, natumaini umebarikiwa afya njema na kama hupo vizuri Mungu Akuponye haraka Tuweze Kuumaliza Mwaka huu vyema 🙏🙏🙏🙏

KibweOnlineTv
Автор

"Inanikunja inanipindapinda dunia tofauti na mama alivyonilea'' kama unaupendaa wimbo huu gongaaa like

paulojulius
Автор

Big up sana kwa team nzima ya Dunia na mnafanya kazi vizuri Mungu awape afya njema na nguvu .napenda pia kwa mnavyotuharakishia na ningeomba ifike mpaka 128 na zaidi ..najifunza sn kupitia hii tamdhilia ntaawaalika kenya

willymorgan
Автор

Wangapi mnapenda penzi la manyanya na maty wasiachane gonga like apo❤

Feisal
Автор

Mbaka hapa nimejifunza mambo mawili
Moja.mwanaume kuoa wake wawili nikwasababu yakibur majivuno yamke mkubwa
Pili.kikulacho kinguo mwako

AnordRenatus-vg
Автор

Mbinguni hakuna pombe mimi😂😂😂😂😂 Mzungu

nyiguofficial
Автор

Mody mzungu umenimaliza n kicheko 😂😂😂aisei yaan unatubamba ajab mwenzio nywachukua kisu akate kachumbari mayowe y nn😂😂😂😂

MwanamisiMuna
Автор

😂😂😂huwa mnanifurahisha mnafahamu kuvaa uhusika, nimejifunza mengi..nitawafuatilia Hadi mwisho❤️❤️❤️

kefrenbaraka
Автор

Kupitia hii movie nmejifunza mengi sana.. hongera sana Manyanya na team yako 🙏 from South Africa 🇿🇦

brightonvictorkimsehyeon
Автор

Hayo mapenzi ya manyanya na mat kitaaalammm! Yanaitwa mapenzi mgandanooo!! 😂😂

costerlugwadi
Автор

😂😂 Jordan mbka ukufe Yani maana unatanga Tanga sana na awo mishangzi

LightnessSilvester
Автор

Wangapi tulidhani maty hatokunywa ile juice?😂

muhundaentertainments
Автор

Jmn tujuane ambao tunachukizwa na mapenz ya Jordan na hawa mashangaz kizee😅😅😅😅

LazaroThomasnghumbila-irol