AGANO (Ep 05)

preview_player
Показать описание
#agano
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

hyu mkaka mlevi yupo vzr kweny kipande chake anacheza uhusika wake hongera sana kwa kazi nzuri

EdinaShaban
Автор

Kwa mwisho wa mwaka huu mmetisha msipopewa tuzo basi wanawaonea mpovizuri na kazi yenu hongereni sana ❤🎉🎉🎉

AminaMasazi
Автор

yaani nikiangalia hii episode ya tano, Sitaki niache kuitazama wameigiza vzr Hasa kuna wimbo huu wa Agano (moyo mchungu unatoka damu) unaosindikiza hii episode, nimeupendaaa Jamani hongereni nimeona nisiposema haya nitakuwa mnafiki

NdyamukamaEdmund
Автор

Nimekupenda ww mlevi aki tumpe maua yake jmn❤❤

halima
Автор

kazi nzuri sna toka mwanzo hadi hapa malipo fikia hongereni sna Wana Sanaa mumeweza kwa kweli endeleeni Tu Ivo naomba likes jamani Kwa kazi nzuri mwenye utakua umeikubali👍

NgalaaMutimwezinane
Автор

😂😂😂😂😂uyu jamaa mlevi bana nampenda Bure 2❤❤❤❤🎉🎉🎉

NzembiNyamai-ul
Автор

Manyanya ni mtu Sana,
Bonge la muigizaji🙌🙌🙌

Saikalyasi
Автор

Kazi nzuri muddy muzungu maua yako 🎉🎉🎉 maana hao wanawake sio watu wazuri

getrudahossea
Автор

Kaka manyanya na mlevi wapo serious Sana kaz zao hmm 🌹🌹🌹🌹yenu👏👏👏

MancaGilbert-oskx
Автор

Jamani hii yimbo inaitwaje na msanii nanani🎉🎉🎉❤

Enocky-pvui
Автор

Mmmmmh 😢😢😢 kwakwel manyanya unachangamoto kwenye Kaz Yako ya uuguz duh, pole sana mungu akutetee wahusika wabainike

CHRISTINAWILIAM
Автор

Wakwanza naomb likes kutoka marekani😂😂

shabsoomary
Автор

kuna wkt nacheka sana nikimwangalia huyo Dokta😂😂😂 anaigiza kwa uhalisia sana.Hongera kwakwe mzee Mathematcs

pajokakasasa
Автор

Dooo yani mlevii bwana yuko vizuri sana, from drc butembo

Nojabz
Автор

Iddy muzunguuu leo huendiii popotee nakuwekaaa kulaaninaaa weeeh😅😅😅😅😅😅

francismbenna
Автор

Nampenda dakitari kweli kavaa uwalisia wake vizuri

FelixJoseph-rlqm
Автор

Hii Kampuni ishaanza Kuferi Sasa dah 😮Yani Sauti amna

INSPECTORHAGAI
Автор

Jamani kumbe muddy ni mzuri namna iyiiii😂😂❤❤❤

KayaJosseline
Автор

Huyuu mlevi popote akicheza anapendeza na siri anaweza kutatuwayeyee

SHAZIMINA
Автор

Mleviii umetisha sanaaaa chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 naomba like yako mlevi bora nchini

MelickLinus-mt