AGANO (Ep 06)

preview_player
Показать описание
#agano
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mimi ndo mlevi huyooo bwana mungu ampe mengi kama Una mkubali mlevi Nipe like zangu

Dogokingo
Автор

Kweli kikulacho kikunguoni mwako. Doctor Manyanya anapata taabu yote kumbe mkewe ndio sos

SaudaSaudaAmiri
Автор

❤❤❤daktar anaweza adi anaweza tena umecheza vzr umewafunika wote unapafomac mzur san ❤❤❤matamanio kufnya kaz na ww siku moj oll the best

FetyMulitaza-sp
Автор

Mm kwangu uyu daktar kwangu ni mwigiza bara kama waona kama mm nipeni laik zangu

HalimaIsmaili-mk
Автор

Uyu dokta naisi ndio msaanii Bora kwasasa

SalminiMaulidi-or
Автор

Mwee umecheza sana umepokea vizuri kaka ❤❤❤ na wote kweny movies nzima jaman mnajua ❤❤

AbuubakarySalumu
Автор

Dokta uko vzur nmependa ulivomdaka mume WA marehem😂😂

AshaJuma-dzhq
Автор

Wa kwanza leo ningependa kupongeza kazi zenu mnatupa kwa wakati 🎉🎉🎉🎉🎉ongereni sana❤❤nime kubali sana 😊

Kashindijohn
Автор

Ii movie imeweza xn sema tu dakika ni chache mno... congrats 💪

SuleimanMagongo
Автор

Move nzuri xana MUNGU Awabarikii xanaaa wotee kiukweli mnatufanya tufulahi lakini xhida dakika chache xanaa

angelrichard
Автор

Manyanya ni mtu sana, nakukubali sana 🙌🙌

Saikalyasi
Автор

Jamn mlev mbon kama anakitu iv namaanish Kam unamkubal mlev nipebas like 😮

AdamZainab-mbqj
Автор

Paco international apewe maua yake kwa kutupatia sound truck kali kama hiyo

rostermwakimata
Автор

Uyu mlevi Yuko pw San mungu ambaliki 🎉🎉

JanethSalos-lkci
Автор

Ilove mlevi unaweza sana akii ❤❤nimekubali

halima
Автор

😢Uyu docta acha asinenepe sio kwa matukio aya😢😢

HuseniSabiti
Автор

manyanya❤ 🎉🎉 mauwayako baba unajuwa sana ❤❤❤❤

lovenesibj
Автор

Jamani mbona fupi sana watu tuna ugwadu from Moçambique ❤❤❤

JosejoaoMalakatela
Автор

Jamani jamani jamani muda mbona mchache sana

kamarhelo
Автор

Jamani Manyanya anapita kiwango kikubwa sana hadi huruma

SaudaSaudaAmiri