AGANO (Ep 04)

preview_player
Показать описание
#agano
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mudiii nmekupenda bureee kaka angu yanii hoko kipande umeuaa yan una kiti chako mbingunoi😅😅😅❤

WifiridSayimon
Автор

❤❤❤duh, kumbe muddy muzungu ukishave mindevu unapendezaivoo

CHRISTINAWILIAM
Автор

Hakuna kipande nimeipenda kama kumuonesha huyu mkaka mlevi naipenda sana Kaz yake

ChausikuJoseph-bdfx
Автор

😂😂Mudi "Panda hapa nikuoneshe vitu"😅😅

qatarabcde
Автор

Mudy mzunguuu huyo kapendeza kweli❤🎉🎉🎉🎉

purityrehema
Автор

Kumbe muddy mzungu ni handsome hiv paka la bar nakupenda kwenye dunia

JanethSylvester-sn
Автор

😂😂😂😂😂 hawa watu wa wizara ya afya wakija kwangu nawakataa😅😅😅

veronicawilliam
Автор

Tamthilia nzuri, yenye mafunzo, na ujumbe, hasa kwa vijana wa kiume.Tuwe makini sana na mahusiano holela.'Asma Comedian' umetisha sana.

rubenbenard
Автор

#rejectfinancebill2024 #Rutomustgo ..let us pray for kenya 🇰🇪 good job

marywairimu
Автор

Kicheche atutengenezee bonge la video tunasuburi sana

AndrewMulandi-ub
Автор

muddy muzungu paka la bar wewe raha sanaaaa mwaaaah mefurah kukuona jmn handsome wangu

JulianaMkenda
Автор

mudiii aan n uleviii tu nayeye aniii hiii part anaicheza vzur sana big up sanah braza 😎😎😎

abdillahkibadi
Автор

Wow kazi nzuri Sana., ,, ujumbe Kwa vijana wenye tamaa hasa za kimapnz

mariammuslim
Автор

Nahipenda sana ngoma iii ni funzo kwa vijana

ChadrackChadrackkabange
Автор

Muzung mbon kam kastukia huu mchezo😅😅😅

MuntazySaidy
Автор

mmh jaman manynya hii kazi muzuri ongera sana

HamzaMapunda-bi
Автор

Hapa mlifeli watu wa widhara ya afya ndyo mavazi gan tena wamevaa ndala hili tukio halija tendewa haki

kiswahiliexpert
Автор

Kicheche burudicha pili pili tunayi subiri kwa hamu

KisemboMoise
Автор

Waaah ni hatari sana nawapenda from 🇰🇪🇰🇪 kenya❤❤❤❤❤

haluarahma
Автор

Napenda xana kazi zenu mko vizuri xanaaaa

SababuArubaini