AGANO (EP 16)

preview_player
Показать описание
#agano
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

KAMA unasoma comment hii mungu akupe maisha marefu sana sema amina

deamber
Автор

KICHECHE uko wapi!!!? VIJANA hawa Wana vipaji vikubwa but wako wapweke!!? Kila siku tunawashauri muwe na upendo na UKWELI ndani yake. But mnatuona si lolote si chochote. SASA hivi mshasambaratishwa. Inauma but no way NI kupambana tuu😢

ALIMOHD-bklr
Автор

yani kanji kaamua kuacha tv na vitu zingine akaona sufuria ndo muhimu jameni...wapi likes za wakenya

cybercafe
Автор

Kama kawaida niko nawafatilia vizuri sana. Kanji na pombe zake chonjo sana. Tifa, Cindy, malkia, doctor na wengimeo nawapenda nikiwa hapa kenya.

MarkOlubayo
Автор

Aaaw hiki kipindi iko moto, inafunza sana

Winniejemutai-ox
Автор

Kwaiyo kanji alikuwa anaondoka na masufulia 😂😂😂Cindy mume unaye

selinakatega
Автор

Safi sana kabisa kabisa mumejitahidi kabisa

IgnaseTalaboe
Автор

Amkeni jamani kabla ya wale wa nguvu za kiume awajakoment chochote 😂😂😂😂

kingcicero
Автор

Nafurai kupata mwenderezo ila mbona kamoja watu wangu ingine lini mana Niko sana macho Niki watizama ninyi

Mboko-Mediaz
Автор

Uyu mjamaa ni kweli mlevi ana dalili zoote

SalmaSaid-vd
Автор

Kanji umeniumiza kuondoka bila sufuria lako 😢😂

HAWAMAULIDI-zlxd
Автор

Sisi apa Congo Kinshasa tuna wafata asilimia kumi, kazi Nzuri kabisa

MoiseJosue
Автор

Hii doh maana halisi ya kikulacho ki nguoni mwako

KelvinMwangi-yvie
Автор

Muuzaji naye kwel Binti kisura haha😂😂😂

luckyshumeofficial
Автор

Ila huyu mkuu wao kawa mrembo kwenye kibenteni alikuwa kaungua na macrim

gracekayumba-zl
Автор

😂😂😂 kanji sufuria lil anapikia nn nimecheka kaach tv kakumbk sufuria

Eliness-me
Автор

Kama unamkubali mlevi kanji piga like tujuane❤❤

NeemaMzur
Автор

Mm wakwanza kuchelewa nipen like jameniiì😂

ismailbaker
Автор

Duuuuh kwny uhalisi wa pombe mmefel inaonekan n maji kwny chupa ya energy

HeriethCharlle
Автор

Kanji ametisha sana apo alipohama na ki sufuria chake chenye masisi

bouchebcosmetics