AGANO (EP 13)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu jamaa mlevi namkubali sana yan.
Bonge moja la Actor

tuntufyehenry
Автор

Jmn jmn Leo nimewah na mm😊😊 ila tunao muonea huruma doctor like twende Saw

ZalhaMustapha-yjos
Автор

Wanaomuonea huruma doctor kama mimi punga mkono juu

VictoriaNzyela-udvv
Автор

Hivi amuogopi kuigiza hivi siwezi manasijui kama ningelala bada ya kushuti😂😂😂

salama
Автор

Daaah 😂 kwa kweri wanavyo tufanyia sio poa

issazalala
Автор

Nipeni likes zangu the one from Congo 🇨🇩🇨🇩

UpendoSewa
Автор

Kanji kaona duka linafunguliwa kashtuka 😂😂😂😂😂😂

mahirmahir
Автор

Kumbe ndoto za kula mbaya hivi toka nizaliwe sjawahi kuota na kunywa pombe kama kuna alie ota akinywa pombe aseme

LinahLugendo
Автор

nimechelewa leo ila kazi mnzuri alafu mnachelewa kuleta kazi

HhosnaRashid
Автор

Mlezi amechanjwa mpaka makalio mtamuoza kweli

Mariam-fmvq
Автор

Nimekuwa wa nne jmn mnipe like hata 5 tu

selinamapunda
Автор

Kuweza mnawezaa sana na kiukweli Mimi na mke wangu Sophia tunaenjoy agano ila mnacherewaa sana kutuleteaaaa

zulfawakissy
Автор

Vipande viongezwe jaman an manYanya linanikera 😢unamtetea mkeo tu

ZainabuAlly-feww
Автор

Kazi nzuri sana waandaaji mmetulia sana hongereni 🎉

mrben
Автор

Kicheche angekuwa hapa angemkula mchawi mkuu, , 😂😂like bana😂😂😂

leonardadd
Автор

Kazi nzuri ila mnachelewa sanaaa kuweka

israelmlanga
Автор

Bodaboda samir kimekuramba wewe haha😂😂😂

luckyshumeofficial
Автор

Nawapenda natokea Bd🇧🇮🇧🇮 nawafatilia sana naobeni like

ButoyiThierry-je