DUNIA (EP 33)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kuna mdundo fulani hivi ukianza kusikika tu bas ujue tu kifuatacho hapo ni kumuona Mudi Muzungu 😂😅 wangapi wameligundua Hilo tujuane hapa.

GetrudaSanga-dl
Автор

Manyanya umetisha bro.Maty uko mrembo mamaa.Huyo rafiki yako ni shetani.Lakini hta amefanya Upendo ndio umezidi.Mashallah naona wivu vile maty anavyopendwa.Mungu atuvukishe mwaka salama comment and say Amen kama unaamini we si chochote bila MUNGU.Love you from Kenya🎉❤.

GladysKarembo
Автор

Mimi tokeya epi 1 hadi hii 33 niko nahifatiliya zaidi, tena kwa kina sana, na inanipa mafunzo makubwa sana, na kweli ni Dunia❤ God blesse all the group or team, i'm from DRC

AmisiMukwamba
Автор

Kwakweli hii movi imenifundisha sna, @Matilda, @Manyanya mnanifundisha sana pia @sindi mungu akubariki uwenamoyo huo, .
Kazi yenu ninzurisna Mungu awabariki🙏🙏

kumbukobaran
Автор

Ila vinyimbo vya kwenye hii mov atal sana nawakubali sana Mungu a2jalie 2fike mwaka mpy jamani🙏🙏

FrankNdubaa
Автор

Najifuza vingi kupitia hii move mungu awabariki waigizaji pamoj na watazamaji mungu atusamehe tulipo kosea atupe mwisho mwema llove yo or best

ZulfatHamisi
Автор

wote mnao angalia iii tamdhilia leo hii mungu atuvushe salama uu mwakaa tukutane wote mwaka ujaoo

Автор

Manyanya uko freshi brother we ni mrisi wa kanumba pambana nakuombea Ila naomba like yako

Camoga-cc
Автор

Ama kweli manyanya wanikosha yani wanyosha hii movie be blessed brother ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪 kama wamkubali manyanya nipe like japo tano

furahakalyfurahakaly
Автор

Jamani mwendelezo lini mimi nimechelewa kuanza kuifwatilia ila nimesha wakuta nawapenda wote wakwenye hii movie inafundisha sana jamani mungu awabariki natuombe atuvushe mwaka sarama tukutane mwakani tukiwa naafya njema kaka manyanya upovizur sana 💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏

AnthonyMgimba-ux
Автор

Yoyote aliebahatika kuangalia episode hii namuombea kwa Mungu amalize mwaka salama wa 2024 na aanze 2025 kwa mafanikio makubwa❤

sultanrichardson
Автор

Hatimaye leo Nimewaiiii, , , , Love you Manyànyaa ❤❤🎉🎉❤❤

NajimaShabani
Автор

congratulations ASMA films manyanya anaupendo wa dhati sana aisee, ongera zako manyanya like it news comment. from Congo 🇨🇩🇨🇩

ObileproJean
Автор

Safi Sana manyanya kufundisha nguvu ya upendo wangapi mnakubali Hilo 🎉🎉🎉

KhadijaMussa-ht
Автор

Marafiki wabaya sana ndomana mi sikuizi sitaki rafiki

RahmaMgoo-vy
Автор

Jamani tunaotamani Matty apone huo ugonjwa tujuane Kwa like hapa 👍

sultanrichardson
Автор

Vraiment mister manyanya nakukubali kabisa una mind yakukaza yakupangana j'apprécie énormément mimi nimukongomani

kanduvulashukuru
Автор

Wow🤩🤩🤩😍😍 Leo nimekuwa wa 214 Poleni kwa pilika za wiki nzima Mungu aendelee kuwapa nguvu zaidi kwenye utafutaji wenu, Pia Tuendelee Kuipa nguvu Team Dunia Series🎉🎉❤❤💥💥💥💥

KibweOnlineTv
Автор

Kumbe manyanya anajua mpaka kuimba😂😂 Yan Hadi raha maty anafarijika na mengi 😊

MahupaMwajuma
Автор

Daaah wanaaotamn Matty awe good gong like apa

NatriphaniaJimmy