Zuchu – I Don't Care (Official Lyric Video)

preview_player
Показать описание
Get #PeaceandMoney Album Now 👇🏼

Peace and Money album by Zuchu explores the
intertwined themes of love, harmony, and prosperity. It
delves into the complexities of relationships and the
balance between personal peace and financial success.

Track No. 7 from Peace and Money Album

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Music #Wasafi
Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hakuna mwanamuke waku pinganisha nawewe tz you're number one ❤

Claudebaraka-ou
Автор

Naamini Ipo Siku Africa itasikiliza Mziki Wangu 🎁🎶🫅🏾 #AlmasiNillan 🇰🇪

almasinillan
Автор

Zuchu Anabadilika sana mamaee na VYOTE unapenda Ila nandy akibadilika anapoteza Radha..!!

mdigokhan
Автор

Jtm... zuchu na simba la masimba Dangote❤❤❤❤ one love Sénégal 🇸🇳🇸🇳🇸🇳🇸🇳

safarigastro
Автор

Kweli hii ndio Album Sasa...uliangalia Album ya Rayvanny, Marioo...hii yako ndio Kali...Wasafi wametisha....Album imepangwa ikapangika...Kenya tunakukubali, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️

RoyAshuma
Автор

Ifike mahali huyu zuchu apewe mama yake ya kuzidi🙌🙌

kifundojaji
Автор

ZUCHU is a talented, versatile, and all-around good musician. For me, this is the best album by a Tanzanian artist. The album ina kila genre/ different type of sound like an album should've. Wa Tanzania tuache roho mbaya na tumpe mtu maua yake. Zuchu is talented!!!

ZuhuraO
Автор

Kabsaa uko swa wasiokupenda wachie mungu japokua niko mbali mama ni mama nakupenda sana mwanangu zuchu ❤

BibiMbonge
Автор

Hii ngoma Kali sana Mpaka inaniumiza Muziki Flani Basitu AMAKWELI ZUCHU UMESHAANZA KUISHIKA DUNIA KWAUPANDE WAWANAWAKE ACHA NILIE KWAFURAHA😭😭😭😭😭😭😭😭😭

PanadolTz
Автор

My favorite song is here dwuuu humu kwanza beat imeanza kama mbele hafu hata uimbaji wako humu sijaona hapa mpinzani wako. Sijui nisemaje yan jinsi hii ngom ilivyoniingia 💥🪐🪐🎥

shanatatrigger
Автор

Sina chakusema zaidi yafulaha napongezi kwa album yako ubalikiwe🇧🇮

ChadrackIrankunda-pw
Автор

Huyo prodc Tron namkubali sana akipiga biti oya so pw kama na wewe umependa hili dundo nipe like hapa 😅😅

AlexJumanne-lsgm
Автор

Zuchuu unajua mungu atakubaliki ufike mbali kuliko hapa❤❤❤❤❤💖💖I LOVE U

KaelynnDaudi
Автор

Sina usemi nikukuombea mungu azidi kua upande wako si kwama adui hao walokuzingira❤❤❤

eshasaid
Автор

Malawi is here ..big up zuchu..share my greetings to wcb lover

AllieAldah
Автор

Leo nimekuwawa 423 kuview 😂😂😂
Love uh zuchu ❤❤❤

Mudh-hirKhamis
Автор

Wenye wansema zuchu 2025 Bado ataendelea kuhit kujeni apa

Michaeljaja-tqnh
Автор

Yaani wewe Zuchu unakichaa wewe!!! Hizi nyimbo unazitoaga wapi

BarbaraPatience-qtcc
Автор

Utakayesoma hii comment mungu akupe hitaji la moyo wako 🤲🤲💫💫🤲💫🤲💫🤲💫💫💫💫🤲💫🤲

mohamedlopa
Автор

Leo na mi naweka muhuri kua huu ndiye Simba jike, sijui nijiite radi ili nimtishe Simba aniachiye aka kadada ao!!! Nipeni fikra wadau

CamweziKarashnekov
join shbcf.ru