Zuchu ft Diamond Platnumz - WaleWale (Official Lyric Audio)

preview_player
Показать описание
Get #Walewale Now 👇🏼

"Wale Wale" by Zuchu featuring Diamond Platnumz is an empowering anthem that celebrates resilience and triumph against all odds. The song reflects on overcoming skepticism and criticism from naysayers, emphasizing faith, perseverance, and ultimate success. With its infectious beat, catchy chorus, and a blend of Bongo Flava and rhythmic chants, the track delivers a vibrant, unapologetic message of victory and self-belief.

Track No.12 from Peace and Money Album

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Music #Wasafi
Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nah Simba lamah... Daah atal San naomben likes Zang kwa kuw mshabiki wa bongofleva na kizazi cha Mondi Congratulation to our Artist

CallmeYokih
Автор

Yaaani kumuongelea Zuchu na Diamond yataka moyo Daa sema maisha yanataka ivi ili kujua wanafiki weny

FadiliNyabuta
Автор

Zuchu na diamond waki ingia kwa studio lazima hit song big up

esthergichini-ze
Автор

KAZIIII IPOOOO
WEWEEEE
AWAJA CHEMA BADO MPKA WACHEME🎉🎉🎉HONGELENI SANA ZUCHU NA BABA LAO SIMBAAA YOU ALWAYS KILL ON YOUR VERSE I AM IN LOVE WITH THIS ONE❤❤❤

IsmailOmary-nj
Автор

Nikisema mondy, mnajibu simba la ma... 🔥...funga mwaka

Husseinmwanakombo
Автор

Kuna wengine wetu wakitongozwa tu na mabosi zao, washapagawa na kujisahau kazini, mpaka wanajipata wamajiaribia Alafu kuna Zuchu, tangu yeye na Diamond wajuane, sijawahi kuskia drama zao, na kazi Yao wanaifanya Safi saana.... Mungu awabariki...Zuchu she is very smart.

nicolettahmuteti
Автор

Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond na zuchu awalinde na husda yawanadamu awazidishiye upendo ameen

channyanjen
Автор

Kilasiku collaboration ya zuchu na diamond huaga inakua kali ila hiyi ni kwa kweli ni kali mnoo, Big up l love you guys ❤❤❤ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

charlesrashidi
Автор

Mimi napenda wimbo huu. Upendo kutoka Afrika Kusini. Afrika moja.

caimaccoinnich
Автор

Nyinyi ndo wale wale wa mtasubiri sana, nawapenda sana from Congo DRC 🇨🇩

AbasiGérardprince
Автор

Ngoma tam sanaa respect Simba ramasimba ft zuchu 💪💪💪🙏🙏🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥 nawakubali Sanaa 🔥🔥🔥🔥binadam WA ajabu Sanaa wanawanaweza kukukatisha tamaaa kweli

chusseboywcb
Автор

Sasa hii nyimbo niyo yakuniponya macunyu, aca tuimbe tikiti tikiti ar etokoto tokoto ayeeee, , zuchu wewe ndio best ata duniani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

UwiringiyimanaErnestine-vw
Автор

BABA NA MAMA WAMEKUTANA KWA MARA NYINGINE!!!! HAWA WANAFAA KUPEWA MAUA YAO 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ WE LOVE YOU MASEEB NA ZUHURA ❤❤❤🎉🎉🎉😊

Govice
Автор

Sema mond anajua sanh mpk nashindwa kuuona mwsho wake❤

NiceB-om
Автор

Ila Mond ni mkali sana Tanzania 🇹🇿 iko mikono salama kwa msanii wetu akituakilisha kwenye Mataifa hapa Duniani

charlesluzegea
Автор

Hii ni kwajili walio jipata kwa mwaka huu kama ujajipata kama mimi tuenderee tu kumuomba mungu

abdulmlokozi
Автор

Bonge bonge moja la mpin ili ni kwa wale wote wanafki wasiopenda mapenz yasidum

RajabMganda
Автор

Mimi kama Mkenya alafu dadangu kaolewa Tanzania Najiona Mtanzania tu..Msalimieni dadangu Selina uko mwabieni kaka Nampeda sana Msalimieni pia Shemeji Babu Emmanuel "nisalimieni na Likes"

Trapane
Автор

Mungu akajibu maombi na hitaji la moyo wako...Simba mbona unyama mwingi🔥🔥

RoyAshuma
Автор

Ngoma Kali kutoka kwa Queen and king of East Africa 🔥

jackwinnerhustler